ndugu zangu wana jamiiforums nipe msaada kwa wanaowajua hawa watu mfano MSALAN na SIMIYU Sijawahi Kukutana Nahoja Maalumu Zenye Kujenga Wao Niutumbo Tu Je Nimoja Ya Watu Waliosoma Kwa Kodi Za Wana Nchi? Kwanini Wanajifanya Kama Mizuka Isiyo Tambua Matatizo Yanayo Letwa Na Maccm? Je Au Ndio Jamii...
kama wanavyo jinyakulia vyeo mwishoe na kwenye osomi uprofessor feki majanga trakta zenyewe zimeishia kwa wakubwa wakulima masharti mengi haswa.basi hii ndio KILIMO KWANZA ETI! vitu vya kichina feki na huo prf,ni feki
Ndugu Yangu Simiyu Uko Umri Gani!? Mbona Sijawahi Kuona Mchango Wako Wenye Tija Kwa Taifa Hata Jamii Tu Inayokuzunguka Kwa Kweli Hata Kama Upenzi Wa Chama Flani Muu.Nakutilia Shaka Uwelewa Wako Jaribu Kujenga Hoja Hata Mara Moja Moja Kujenga Hekima Hata Kama Kiduchu Mungu Atakuongezea.SINA NIA...
Ndugu wanabukene na kata zote za jimbu la bukene tunapenda kuwataarifu kua 26 julai 2014 diwani wakata ya bukene ndg Omary Omary atafanya mkutano ktk uwanja wa Igembe Sabo atajibu maswali atakao ulizwa na wapiga kura wake.
Maada kuu ni kuhusu ujio wa kamchape hawa watu wapo kibiashara na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.