мм иι кιʝαиα иιℓιємαℓιzα кι∂αтσ ¢нα ииє мωαкα ʝαиα иιиα υfαυℓυ ωα 4 уα ρσιит 26 иιиα C ya geography C ya English, C ya kiswahili, afu masomo ya civics, history, bios, nina D na math F sasa nauliza naeza pata chuo cha ardhi kwa Course ya land management kweli naombeni msaaada wenu jamaaaaan
Jaman naombeni mnisaidie mm pia Ni miongoni mwaniliotuma pesa nacte lkn nkifanya kuaply wanakataa nahela ndo tiali washachukua na code no walinirudishia sasa wwwsa nashindwa kuelewa nn tatizo na katika milolongo ya kuomba kuna maneno yanazingua kwan yanahitaji namba iixhie 15 naisipite maneno...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.