Recent content by Emmanuel kant

  1. E

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Halmashauri na wakuu wa idara kuwekwa Selo na Mkuu wa Wilaya ya Kwimba, Ng’wilabuzu Ludigija, kwa kutoshiriki zoezi la usafi

    hawa wapumbavu ni walamba matak ya rais hakuna wanachojua kuhusu uongozi, wananguvu kuliko walio chaguliwa
  2. E

    JamiiForums Tanzania Profesa Muhongo ulienda kufanya nini kwenye uzinduzi wa bwawa la umeme?

    Tofauti vitabu vyenu vya uraia imesoma kitabu kipi
  3. E

    JamiiForums Tanzania ACT wao, kila uchaguzi ukiisha, wanaitwa kwenye maridhiano kugaiwa vyeo, Zitto alicheza kama Pele kuipeleka ACT Zanzibar

    Kwenye kumleta tu Lowasa ilikuwa inatosha kuprove
  4. E

    JamiiForums Tanzania ACT wao, kila uchaguzi ukiisha, wanaitwa kwenye maridhiano kugaiwa vyeo, Zitto alicheza kama Pele kuipeleka ACT Zanzibar

    Wazee in wa mwamba tuvushe tuliwaambia mapema mwamba ntu ya dili hawakusikia
  5. E

    JamiiForums Tanzania ACT wao, kila uchaguzi ukiisha, wanaitwa kwenye maridhiano kugaiwa vyeo, Zitto alicheza kama Pele kuipeleka ACT Zanzibar

    Zito aache kunufaika kivipi!? Yule ananufaika moja kwa moja
  6. E

    JamiiForums Tanzania ACT wao, kila uchaguzi ukiisha, wanaitwa kwenye maridhiano kugaiwa vyeo, Zitto alicheza kama Pele kuipeleka ACT Zanzibar

    Maridhiano yao huwa sio kuhusu uchaguzi kuwa huru na wa haki ila kugawana vyeo tu, ukifika uchaguzi wanalia lia wameibiwa kura
  7. E

    JamiiForums Tanzania ACT wao, kila uchaguzi ukiisha, wanaitwa kwenye maridhiano kugaiwa vyeo, Zitto alicheza kama Pele kuipeleka ACT Zanzibar

    Hapa Africa chama ambacho huwa kinaingia kwenye maridhiano huwa moja kwa moja kimekubali kupewa nusu mkate
  8. E

    JamiiForums Tanzania ACT wao, kila uchaguzi ukiisha, wanaitwa kwenye maridhiano kugaiwa vyeo, Zitto alicheza kama Pele kuipeleka ACT Zanzibar

    ACT Wazalendo wao, kila uchaguzi ukiisha, wanaitwa kwenye maridhiano kugawiwa vyeo. Dalali Zitto alicheza kama Pele kuipeleka ACT Zanzibar. Hiki chama yaani wao huwa kinasubiri uchaguzi uishe, kigawiwe vyeo, kisha kisubiri miaka mingine mitano.
  9. E

    JamiiForums Tanzania Profesa Muhongo ulienda kufanya nini kwenye uzinduzi wa bwawa la umeme?

    Umesoma other side of Nyerere au ni zile somo la uraia tu
  10. E

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa majimbo ni mzuri kama tutafuata mfumo wa majimbo wa marekani Makabila makubwa bado yatazuiwa kuhodhi madaraka

    Kama mapato Mengi yanaenda serikali kuu hao tarura na halmashauri wanatoa wap fedha
  11. E

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa majimbo ni mzuri kama tutafuata mfumo wa majimbo wa marekani Makabila makubwa bado yatazuiwa kuhodhi madaraka

    Kati ya Hillary Clinton na Trump nan alikuwa na kura nyingi na nani alitangazwa mshindi !? Unaongea kama upo zama za mawe, hizo electoral vote muulize Hillary Clinton kama hazina umhimu
  12. E

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa majimbo ni mzuri kama tutafuata mfumo wa majimbo wa marekani Makabila makubwa bado yatazuiwa kuhodhi madaraka

    We kumbe kiazi mbatata kojoa ulale. Zanzibar unafikiri ina nguvu kuliko jamii nyingi za Tanganyika wasukuma, wachaga, wahaya. Kama hizo votes hazina maana
  13. E

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa majimbo ni mzuri kama tutafuata mfumo wa majimbo wa marekani Makabila makubwa bado yatazuiwa kuhodhi madaraka

    Ingia google sasa akusaisie usiwe kichwa panzi kutafuta typo kuacha vitu vya msingi ✅ Pros of the Electoral CollegeBalances power: Protects smaller states from being ignored by larger ones. Encouraged coalitions: Forces candidates to build broad, nationwide support rather than focus only on big...
Back
Top Bottom