Recent content by Emmanuel kamanzi

  1. Emmanuel kamanzi

    JamiiForums Tanzania Lipi jiji zuri kati ya Mbeya na Tanga?

    Kwanza tanga sio jiji
  2. Emmanuel kamanzi

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ubungo, Mhe. Kubenea akamatwa kwa amri ya DC Makonda

    tatizo la kubenea afuat utaratibu
  3. Emmanuel kamanzi

    JamiiForums Tanzania Anachofanya Rais Magufuli sasa ni uchonganishi kati ya wananchi na Kikwete

    Magufuli asituchonganishe na aliyekuwa rahis wetu Kipenzi cha Watu Kikwete. Asidhani sisi wananchi tunapendezwa na anayoyafanya, ni wazi kuwa kwa sasa anatuchonganisha na RaHis wetu mstaafu kwa mambo anayoyafanya. anataka sisi tumwone aliyestaafu hajafanya kitu katika miaka yale kumi. si...
  4. Emmanuel kamanzi

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba ambae wa Serious Relationship

    Wasichana wazur kabisa awapatikaniki mitandaon
  5. Emmanuel kamanzi

    JamiiForums Tanzania PSPTB v/s CIPS

    Cips kwan ukimaliza cips utakuwa umequalify kimataifa then chet chako cha cips ukikipeleka psptb wanakupa na chet cha psptb kwa level uliyofikia hivyo kwa kufanya hvyo utakuwa umeua ndege wawili kwa jiwe moja
  6. Emmanuel kamanzi

    JamiiForums Tanzania Kimenuka Lumumba, Makongoro na Timu ya Kampeni watoa Dukuduku

    Wataalamu wap hao? na source ya information yako umeitoa wap?
  7. Emmanuel kamanzi

    JamiiForums Tanzania Rais mstaafu kulipwa zaidi ya milioni 300 ni kwa kazi gani anayoifanya akiwa amestaafu?

    Kwl urais dil ndio maana lowasa anang'ang'ania
  8. Emmanuel kamanzi

    JamiiForums Tanzania Shirikisho la Vyuo Vikuu Tanzania latoa tamko la kumuunga mkono Dr. Magufuli

    Yess shilikisho juu kwel nyie niwapembuz wa mambo na kwa hakika mmempata kiongoz sahii shirikisho safiiiii Magufur safiiiii
Back
Top Bottom