Recent content by Emmanuel chongera

  1. E

    JamiiForums Tanzania Niulize swali lolote kuhusu Geology na field zote zinazohusuhiana na Jiolojia

    Hivi Mtu aliesoma Bsc in Environmental sciences anaweza soma masters sc in geology
  2. E

    JamiiForums Tanzania Wadau hivi ukiwa na degree afu ukaajiriwa serikalini kwa Cheti cha form four afu degree yako ikawa haina kitengo kwenye hiyo taasisi unafanyaje?

    Wadau hivi ukiwa na degree afu ukaajiriwa serikalini kwa Cheti Cha form four afu degree Yako ikawa haina kitengo kwenye hiyo taasisi unafanyaje?
  3. E

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Waajiriwa wapya wa afya na elimu hawapewi hela ya kujikimu

    Wadau wa jamii forum hivi inachukua mda gani kwa mwajiriwa mpya kuingizwa kwenye payroll?
  4. E

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Waajiriwa wapya wa afya na elimu hawapewi hela ya kujikimu

    JAMANI hivi kwa waajiriwa wapya serikalini INACHUKUA MDA GANI kuingiziwa kwenye payrolls
  5. E

    JamiiForums Tanzania Ushauri,kozi ipi ni nzuri kwa kujiajiri na kuajiriwa kati ya hizi hapa?

    Kwerii aseee kwahiyo vipi nikisoma kozi ya motor vehicle mechanics na automobile mechanics pale veta shinyanga mkuu si inawezekana mkuu wangu?? Afu si inaruhusiwa kusoma kozi zote mbili kwa wakati mmoja auto na motor vehicle mechanics??
  6. E

    JamiiForums Tanzania Ushauri,kozi ipi ni nzuri kwa kujiajiri na kuajiriwa kati ya hizi hapa?

    Dah!! 🙄🙄😌😌😌 Kwa kwerii maisha sio poa asee maana Mambo Ni magumu aseee mkuu wangu sanaaa huku kitaa mkuu walioko chuo wanatakiwa kulijua hili
  7. E

    JamiiForums Tanzania Ushauri,kozi ipi ni nzuri kwa kujiajiri na kuajiriwa kati ya hizi hapa?

    Ok mkuu nipe namba zako nikupigie mkuu tuchonge namba zangu Ni 0673596817 maana nataka nikuulize kitu....
  8. E

    JamiiForums Tanzania Ushauri,kozi ipi ni nzuri kwa kujiajiri na kuajiriwa kati ya hizi hapa?

    Kwa mfano ni kozi ipi ambayo IPO good mkuu wangu maana Mimi Nina degree ya Enviromental science and management Ila nilitaka kusoma kozi ya minetechnology ili niitumie Kama kigezo Cha kuingilia mgodini mkuu
  9. E

    JamiiForums Tanzania Ushauri,kozi ipi ni nzuri kwa kujiajiri na kuajiriwa kati ya hizi hapa?

    Mkuu inamanisha hii kozi ya minetechnology kwasasa Haina soko mkuu??
  10. E

    JamiiForums Tanzania Ushauri,kozi ipi ni nzuri kwa kujiajiri na kuajiriwa kati ya hizi hapa?

    Mkuu Mimi nataka kwenda kusoma minetechnology veta shinyanga vipi uko vizuri mkuu wangu au Hapana naombeni ushauri
Back
Top Bottom