Recent content by Emmanuei

  1. Emmanuei

    JamiiForums Tanzania Vita inayoendelea baina ya CCM na Serikali imekuwa nzito sana! Tuwaamue au tuwaache watoane ngeu?

    Kwenye hili, nadhani bi mkubwa anajiripua kwa mabomu aliyo valia mwenyewe.
  2. Emmanuei

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Mhagama: Sheria za Uchaguzi zinazotungwa hazitazingatia maandamano yanayoendelea

    Subilini wawapinge mahakamani ndiyo hakili ya kufahamu kuwa Sheria ikipingana na katiba huwa haifai inatakiwa ifutwe ndiyo itawaingia.
  3. Emmanuei

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Upendo Peneza: Viongozi CHADEMA wanakitumia chama kama duka lao

    Kachelewa sana, wenzie walisha sahaulika kitambo mbona!!!
  4. Emmanuei

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Upendo Peneza: Viongozi CHADEMA wanakitumia chama kama duka lao

    Very well talk now too.
  5. Emmanuei

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: Ningeteuliwa kuwa Mwenezi kipindi cha Magufuli wangenyooka hawa

    Lisilowezekana popote duniani inchi hii linawezekakana. (Tanzagiza).
  6. Emmanuei

    JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene: Rushwa imetapakaa kila kona

    Mimi namfahamu huyu waziri kabla ya hapo alipo nadhani tusimshagae kulalamika kwasababu siyo karma yake ya kimapambano, rushwa inatabia ya mapambano mapambano.
  7. Emmanuei

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Mwanza apewa wiki tatu na Mwenezi Makonda kuhakikisha Hospitali ya Sengerema Inafunguliwa

    Ni swala la muda tu' Hawa ndugu zetu CCM watajikataa wenyewe! Kwasababu anavo waadabisha wao wenyewe lazima wataomba poooo!!
  8. Emmanuei

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: ACT sio chama cha kupiga kelele na kubwabwaja-bwabwaja, tutashiriki uchaguzi hata kama hakuna Katiba mpya

    Huu sio wakati wakushangaa chawa, ni muda wa wanaojitambua kuchukua hatua.
  9. Emmanuei

    JamiiForums Tanzania Kama si Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) na wazalendo wengine haya yasingetokea

    Kama wewe sio mjuvi wa Sheria kaa tu utulie hii ni taalma ndugu, IGA Ndoo kila kitu usidanganywe.
  10. Emmanuei

    JamiiForums Tanzania Tujihadhari na dhambi ya tamaa mbaya katika taifa letu

    Tutafakari zaidi hasa kwanini Leo na siyo mwanzo kule kwa waasisi wetu ambapo muda ulikua unaruhusu zaidi . The time will tell.
  11. Emmanuei

    JamiiForums Tanzania Tujihadhari na dhambi ya tamaa mbaya katika taifa letu

    Leo mitandaoni Kuna gumzo kubwa litokanalo na walaka wa katibu mwenezi wa CCM, Sophia Mjema ambaye siyo wa kwanza katika Taifa hili kuwatamkia Watanzania masuala yahusuyo uongezeaji wa muda kwa viongozi wetu wa kitaifa. Mlolongo huu wa matamko/walaka kutoka kwa Watanzania wenzetu unatutia...
  12. Emmanuei

    JamiiForums Tanzania Wakili Msomi Boniface Mwabukusi; Rais mtarajiwa toka Busokelo

    Yeyote atakayekubsliea na jamii ktk uchaguzi hasa Ile utakaosimamiwa na tume huru ya uchaguzi
  13. Emmanuei

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akamatwa na Polisi akiwa Ngorongoro hotel Wilayani Karatu

    Very right. Wanapo hisi kuwa haiba Yao mbere ya jamii imeporomoka viongozi wa kiafrika asilimi kubwa wana tabia na huruka zinazo fanana.
  14. Emmanuei

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CCM inataka Dotto Biteko awe Mgombea Mwenza kwa Samia 2025

    Lakini shida ni. kugombea au shida ni Sheria zisizo weka uwanja huru na sawa?
  15. Emmanuei

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amvua hadhi ya Ubalozi Dkt. Slaa

    Tatizo letu Africa ni 'political tolerance' ambapo hoja kinzani dhidi ya viongozi na watawala hutafasiliwa kuwa ni usailti au uasi.Mungu atuhurumie.
Back
Top Bottom