Recent content by emmanepoultryfarm

  1. E

    Ushauri: Ununuaji wa magari

    Halafu nimeicheki kwenye calculator ya TRA Ford hazipo, Vipi lakini hazinaga ubovu aina yoyote?
  2. E

    Ushauri: Ununuaji wa magari

    Wakuu vipi kuhusu Magari ya ford hasa ford escape ya 2004, yana ubovu wowote? Na spare zake zipoje upande Wa bei?
  3. E

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Hongera,nakushauri uanze kidogo,kama unajifunza,anza na angalau vifaranga 50 hadi 100,hapo unajifunza vingi sana,hasa kwa sababu umri wa vifaranga ndo umri wenye changamoto nyingi sana katika ufugaji,cha ziada,wachunguze kuku wako Mara kwa mara,ishara ya kwanza ya kukua mgonjwa ni kuzubaa,ukiona...
  4. E

    Ni mwaka umepita tangu wife kubakwa,bado nashindwa kulala nae

    Duh,eti unaondoka alhamisi unarudi j4,we jamaa una uhusiano kweli na mkeo au hii ni hadithi ya kutunga!?km ni kweli bs huyo mkeo na yeye anajua kinachoendelea lkn anasubiri tu yakukute urudi unalia akubebe au ameshaanza kujihudumia,semina gn za kila wiki!?
  5. E

    Msaada: Kuku wanakufa, nini tatizo?

    Jaribu kutazama km kinyesi kina rangi gani,au km kuna dalili zingine za ziada,km kushusha mbawa.
  6. E

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Kula mayai ni dalili ya kukosa lishe bora,hasa calcium,kuku wako unawafuga kwa mfumo upi? Wa ndani au huria?
  7. E

    Nauza vifaranga chotara

    Poleni kwa kupotea,wale vifaranga tyr wameuzwa,km utahitaji tena napokea oda za vifaranga wa siku 1 hadi 7,bei ni elfu 2,napatikana kwa namba hii 0657666740
  8. E

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Inawezekana hao kuku ni chotara na sio kienyeji pure,kienyeji lazima alalie mayai,ni ngumu kutofautisha kati ya kienyeji pure na chotara,tafuta kienyeji Kazi yake iwe kuatamia au tafuta Incubator.
  9. E

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Jamani bei ya sokoni ya kuku wa nyama ikoje sasa hv,nafikiria kuanza kuwafuga.
  10. E

    Nauza vifaranga chotara

    Habari zenu wadau, Nauza vifaranga chotara,umri wao ni miezi miwili,wana chanjo zote,wanapatikana mbezi luis,kimoja sh elfu 8.
  11. E

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Hapa ndo anatakiwa uanze kidogo,ili kadri mradi unapoukuza na ww unajifunza,kupata hasara kwny kufuga kuku hakuepukiki,lkn angalau unajua umepata somo.
  12. E

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Jmn hii bei ya chakula inanitesa kwakweli,hivi nikichanganya pumba na virutubisho km dcp kuku wangu watakua vizuri?hapa nazungumzia kuku wakubwa wa miezi 5 hadi 6.
  13. E

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Mkuu umenifurahisha sana,halafu hapo uliposema kuku huwa hawatotoi wakt wa baridi nadhani ulimaanisha kutaga,ni kweli kutaga huathiriwa na hali ya hewa lkn unaweza kuwasaidia kwa kuwakinga na baridi.
  14. E

    Ufugaji wa kisasa ni dili, kwa wale mnaotaka kujua taratibu na kanuni za kufuata A to Z

    Sana,nimeona inapigwa sana vita na mashirika ya haki za wanyama.
Back
Top Bottom