Recent content by Emmaemmax

  1. E

    JamiiForums Tanzania niende tra au nifanyaje wakuu?

    Hapa tra muwe makini sana. Kifukuzwa ni kugusa. Wekeni lengo la kufanya kazi kwa uaminifu. Deal serikalini zimebana.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Wana JamiiForums wenzangu, Nimepatwa na msiba wa Mjomba wangu Mr. Mkumbo

    Aisee! Huu msiba umenisikitisha sana. Jamaa alikuwa fighter na mwenye roho nzuri sana. RIP Eliphace Mkumbo.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kuhusu Interviews za Oral za Utumishi

    Accountant II unafanya tu kazi za uhasibu lakini huruhusiwi kusaini ripoti za uhasibu. CPA inakupa hiyo credit na kuwa mkuu wa idara inapotokea nafasi.Kama huna CPA value yako haitaongezeka. Kama ww umesoma uhasibu isome tu itakusaidia sana.
  4. E

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kuhusu Interviews za Oral za Utumishi

    Ni kitu kilekile mkuu Wanataka ueleze mgawanyiko wake kama nilivyotuma hapo. Classification = mgawanyiko Types = aina Aina ndo hizo na mgawanyiko wake ndo huo. Oral questions require high thinking. All in all marks wanagawanya na za written, mtafaulu tu
  5. E

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kuhusu Interviews za Oral za Utumishi

    Types hizo, msiseme hakuna
  6. E

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kuhusu Interviews za Oral za Utumishi

    Much smuggling occurs when enterprising merchants attempt to supply demand for a good or service that is illegal or heavily taxed. As a result, illegal drug trafficking, and the smuggling of weapons (illegal arms trade), as well as the historical staples of smuggling,alcohol and tobacco,[13] are...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kuhusu Interviews za Oral za Utumishi

    Kuvurugwa ni mojawapo ya technique ya kukupima ili wakuone utafanyaje ukikutana na mazingira hayo kazini
  8. E

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kuhusu Interviews za Oral za Utumishi

    Oral 50% Written 50% Unaweza kufaulu written oral ikakufelisha. Mtu anapimwa zaidi kwenye oral kwani hapo ndo wanakujua ulivyo.
  9. E

    JamiiForums Tanzania Funzo: Usahili wa TRA kwa graduate walioko JamiiForums

    Ziko nyingi tu, usiangalie majina na majengo makubwa. Na mimi wakati kutafuta kazi nilikuwa kama nyie ila baadae nikaacha kuchagua ofisi nikapata kazi yenye maslahi kuliko walioenda kwenye majengo makubwa. Kazi ni za ajabu sana. Nyie mnataka muingie tra ila kuna watu tra wanatamani waondoke...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Funzo: Usahili wa TRA kwa graduate walioko JamiiForums

    Ile portal imeeleza category za field husika. Revenue, tax na customs ilikuwa kwenye category ya trade and industry, hivyo ilitakiwa kujielekeza huko zaidi. Waliofanya accounts waliletewa maswali ya profession kabisa. Ushauri: 1. Unapoomba kazi angalia ipo kwenye category gani. 2.Ukifaulu...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu haya matokeo ya TRA.

    Naona wengi huku mnamategemeo makubwa ya kuwa na maisha mazuri sana kwa kufanya kazi TRA TRA ni ofisi ya kawaida sana sasa, na ukienda na mawazo ya kuwin faster hutachukua muda.
  12. E

    JamiiForums Tanzania Update: Usaili wa TRA Matokeo kutoka ndani ya siku 10 wasailiwa waendelee kujiandaa vitu si rahisi.

    Acha kutukana watu Kufaulu pepa si kwamba unawazidi wote
Back
Top Bottom