Kwanza wanawake wengi sana wameolewa au wako kwenye mahusiano na watuwa sio wapenda ila wamefata huduma na pesa za kukamilisha malengo yao.. so siku akishakuwa na pesa hawezi kuendelea kupritend kwako lazma aondoke...
\
Pili wanawake ndani kabisa katika asili yao ni viumbe wanaohitaji kutawaliwa...
Wakuu!!
Idadi ya BAO inategemea sana na aina ya mwanamke ambaye unashiriki nae tendo..
kwa uzoefu wangu mwanaume huwa tunakuwa na moto na BAO 3 za kwanza baada ya hapo juhudi za mwanamke zinatategemea zitafika ngapi...
FROM UZOEFU WANGU ..
Kwanza inategemea sana na how wet and tight she is...
Hacking si kazi rahisi kama tunavyoona kwenye sinema!
Miaka kadhaa iliyopita nilisha wahi kuwa na wazo kama hilo la kujifunza huo udukuzi wa kimtandao ila nikakutana na jamaa mmoja ambaye ni mbobezi kwenye sector ya Networking na programing alinicheka sana. AKANIAMBIA nisifananishe maisha ya...
Wanasababisha matatizo makubwa sana…
Mfano:- kuna mtu amepigiwa na Boss wake 3x simu inatumika then baada ya kupigiwa tena haipo hewani…
Hapo alitakiwa alikua ameambiwa akae hewani kuna maelekezo muhimu .. ya yeye kuyatekeleza …
Kilichofuata hapo kwasababu ilikua jumamosi .. boss akajua jamaa...
Pole sana mkuu!!
Ki ujumla huyo mwanamke mpaka kukuambia hivyo ameshafanya maamuzi yake so zingatia zaidi ambayo hajayasema sio hayo tu…
Na kukuambia hivyo maana yake kuna mahali anarishishwa na ndio maana ameamua kukueleza kama fimbo ya kukuchapia..
Elewa jambo moja mwanamke yoyote anaweza...
Kwa mara ya kwanza ukristo uliingia maneo ya ethiopia karne ya 4 tena baada ya mfalme wao kuamua kuwa mkristo…
Baada ya hapo ulianza kusambaa taratibu hadi kufikia karne ya 18 . . Na kanisa la kwanza kusimikwa afrika mashariki ni 1840.. na liliwekwa na wamishenari wa kijerumani ambapo baadae...
Yakiroho yapi wewe!!
Tena kiukweli waislamu ndio wanaobudu kuliko wakristo na wanaimani kweli kweli…
1. Leo utaenda majumbani mwa watu unakuta picha wanasema ya yesu … kumbe ya actor wa hollywood …
Halafu jiulizeni neno Jesus limetoka wapi!? Na je ni jina kweli la masihi tunaemfikiria …
1. Unasema walikua wabishi mbinu zilizotumiwa kuwatawala ndio zilizotumika kuwabadisha .. amka wewe ..
2.Africa kulikua hakuna dini maalumu kama unavyodhani!?
Kila eneo lilikua lina fata tamaduni zao .. na wanaomba Mungu kwa kupitia hizo tamaduni..
🤣🤣.. unawaza mbalamwezi ..
Huko mbali sana waza tu vitu vilivyokuzunguka …
Mfano we mwenyewe unawezaje kuwa hivyo ulivyo bila Uwepo wa. Mungu!!?
Na usije ukachanganya …
Dini .. ni tamaduni ya watu flani wanaotumia kuabudu ..
Mungu .. ni nguvu kubwa iliyoyafanya yote tuyaonayo na tusio yaona..
Hizi ni propoganda za kimangaribi … zimeshakuingia …
Hakuna muislam anaemriwa kufanya hivyo..
Hizo video na matukio yanayofadhiliwa na mataifa ya magharibi yasikuchanganye ukajua ni uislamu..
Acha kuangalia mbaali angalia waislamu waliokuzunguka hapo je wanachinjana!?
Usiamini kila unachokiona...
K
hizi Dini zote zilizokuja kwa njia ya ukoloni sio dini zetu sisi wakoloni walijitahidi sana kuficha na kutupotosha kuacha dini zetu za asili na kufata zao..
Sasa hivi kwasababu zilikua ni mbinu za ukoloni wao wameziacha sisi ndio tumebaki kuzishikilia na kusahahau kwamba kabla ya karne ya...
sawa uliingia afrika kabla ya ukoloni kwasababu ya wale waislam waliokimbia macca wasiuwawe na kuja afrika kujificha …
Je uislam umeletwa na nani East africa? Kama sio mkoloni..?
Ukifatilia hata ukristo pia ulikuja afrika kabla ya ukoloni…
But East africa ulitwa na ukoloni kama ilivyo uislam..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.