Recent content by emmadaudi

  1. emmadaudi

    JamiiForums Tanzania Tume ya Utumishi wa Mahakama imetoa majina

    poa poa
  2. emmadaudi

    JamiiForums Tanzania Tume ya Utumishi wa Mahakama imetoa majina

    fanya kuyapiga picture bas mkuu utuwekee.
  3. emmadaudi

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji waongeza majina 58 wakaguzi wasaidizi,kulikoni?

    hiyo orodha ya hao 58 iko wap au ni fununu tu mkuu
  4. emmadaudi

    JamiiForums Tanzania Watu 10,800 wapitishwa kuwania nafasi 70 tu Uhamiaji!

    naomba kuuliza haya majina ya walioitwa yametolewa kwenye gazeti gani?,,maana kwenye website yao hayapo? Naomba mwenye taarifa sahih anijuze,
  5. emmadaudi

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu usaili wa uhamiaji

    huyo mgonjwa na Tmajuto wote wadaku tu,,kila siku na story hile hile,,,mara uhamiaji mara wizara hivi si muwe wakubwa?
  6. emmadaudi

    JamiiForums Tanzania Zimamoto Updates

    mkuu revocatus budeba alifanya usail oral siku ya jumamos fanya uchunguz wako vizuri,,siyo wote wanabebwa wengine wana uwezo na bahati pia,,wakati ukifika kila kitu kitaenda sawa
  7. emmadaudi

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya kupata ajira kutokana na vigezo hivi nilivotoa

    mkuu umetisha
  8. emmadaudi

    JamiiForums Tanzania Maswali na majibu kuhusu Uhamiaji

    linahusikaje mkuu janjawid
  9. emmadaudi

    JamiiForums Tanzania Usahili wa mchujo tume ya ajira

    Inawezekana kabisa mkuu mm nimeshawahi kua wa kwanza kwenye written,, hila kazi akapata aliyekua wa pili,,
  10. emmadaudi

    JamiiForums Tanzania Walemavu wa kusikia wanaweza kufanya kazi zipi?

    mkuu umemaliza mwaka gan? Pole sana kwa tatizo lako Mungu hamtupi mja wake,, mm nimemaliza 2012,,
  11. emmadaudi

    JamiiForums Tanzania Majina ya Makonstebo Jeshi la Zimamoto na Uokoaji

    naomba niangalizie ismael kamkoma
  12. emmadaudi

    JamiiForums Tanzania NHIF vipi?

    kwel mkuu hawa vijana wa mwaka jana wana haraka sana,,hawajuhi tu!
  13. emmadaudi

    JamiiForums Tanzania Naona aibu

    kijana mbona hata ujamaliza mwaka tokea umalize,,suala la ajira rasmi linahitaji uvumilivu,,na kusoma siyo kigezo cha wew kuchagua kazi wakati kazi unayoichagua wenzako wanalelea nayo familia,,kua na subira na uvumilifu,,na usichague kazi alimradi tu unajua unafanya kwa madhumuni gani,,
  14. emmadaudi

    JamiiForums Tanzania RUBADA lini wanaita?

    Hiv walihitaga lini watu kwenye interview?
  15. emmadaudi

    JamiiForums Tanzania Schoolarship za China na kulipa Mkopo wa HESLB

    mkuu website ya wizara ya elimu hilo file halipo? Link ya kudownload inasema ''the document must be published before downloading'' wewe umeonaje?
Back
Top Bottom