Recent content by Emma.

  1. Emma.

    JamiiForums Tanzania Baraza Kuu la CHADEMA laridhia kufukuzwa kwa Halima Mdee na wenzake 18. Asilimia 97.6 waafikiana na maamuzi

    Walivuna walichopanda walikuwa wanapewa kiburi na mwendazake na Ndugai leo wako wapi?
  2. Emma.

    JamiiForums Tanzania Chadema Arusha yazindua Join the Chain Ambassadors kwa mafanikio makubwa

    Chadema ni chama makini Hongereni sana kuzindua kampeni itakuwa na mafanikio makubwa
  3. Emma.

    JamiiForums Tanzania Lengai Ole Sabaya ashinda rufaa na kuachiwa huru na Mahakama Kuu ya Arusha

    📌📌📌📌📌📌📌📌
  4. Emma.

    JamiiForums Tanzania Lengai Ole Sabaya ashinda rufaa na kuachiwa huru na Mahakama Kuu ya Arusha

    😂😂😂😂😂😂
  5. Emma.

    JamiiForums Tanzania Lengai Ole Sabaya ashinda rufaa na kuachiwa huru na Mahakama Kuu ya Arusha

    Amerudishwa kisongo
  6. Emma.

    JamiiForums Tanzania Lengai Ole Sabaya ashinda rufaa na kuachiwa huru na Mahakama Kuu ya Arusha

    Jaji aliyekuwa akisikiliza rufaa hiyo, Ezedekia Kisanya amesema kulikuwa na mkanganyiko kwenye mwenendo wa usikilizwaji wa kesi hiyo ikiwemo kutofautiana kwa mashahidi na kuufanya ushahidi kuwa batili. Kwamba pamoja tuhuma zote ameachiwa huru .Bado ataendelea kuwepo magereza kwa sababu ana kesi...
  7. Emma.

    JamiiForums Tanzania Watu 14 washikiliwa kwa tuhuma za kurekodi video mgonjwa akiwa ICU Muhimbili

    Mange Kinambi anawapooza wenzake sasa angalia wamekamatwa
  8. Emma.

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri kwenye Kikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA

    Kikao cha Kamati Kuu ya chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ikiendelea muda huu, ikiongozwa na Mh. Freeman Mbowe muda huu. Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama wakiwa ukumbini wakifuatilia hotuba ya ufunguzi wa kikao hicho iliyotolewa na Mwenyekiti Taifa Mheshimiwa Freeman Mbowe. Updates ...
  9. Emma.

    JamiiForums Tanzania Mbowe aachiwa huru na wenzake watatu baada ya DPP kuwasilisha hati ya kutotaka kuendelea na kesi

    Kesi ya mchongo haikuwa na ushahidi wowote wa kumfunga haki imeshinda
  10. Emma.

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Wenzake 3 wakutwa na kesi ya kujibu. Kesi imeahirishwa hadi Machi 04, 2022 watuhumiwa kuanza kujitetea

    Jaji: Washtakiwa Wote Waliposimamishwa Mbele ya Mahakama Walikana Makosa, Mbele lya Kaka Yangu Jaji Siyani (Jaji Kiongozi Walikana Mashtaka yao, Walikubali Tu Maelezo Yao ya Particulars). Walikubali Kuwa Waliwahi Kufanya Kazi Katika Kambi ya Ngerengere.
  11. Emma.

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Wenzake 3 wakutwa na kesi ya kujibu. Kesi imeahirishwa hadi Machi 04, 2022 watuhumiwa kuanza kujitetea

    Jaji kama ambavyo Mawakili Wame zungumza Kwamba Shauri lipo Mahakamani Kwa ajili ya Uamuzi Mdogo.. Na Uamuzi huu Mdogo upo tayari, Nafanya Chini ya Kifungu cha 41 cha Sheria ya Uhujumu Uchumi, Sura ya 200, Ikitaka Kujibu Kama Washtakiwa Wana la Kujibu au Hapana
  12. Emma.

    JamiiForums Tanzania Maamuzi gani mabaya uliwahi kuyafanya yakakugharimu?

    Kula ada
  13. Emma.

    JamiiForums Tanzania Mtoto anatakiwa kunyonya maziwa ya mama kwa muda gani?

    Miaka 2 -3 kwa afya ya mtoto
Back
Top Bottom