Recent content by Emma

  1. Emma

    JamiiForums Tanzania WAITARA: Ndani ya kanisa la Ufufuo na Uzima kwa Askofu Gwajima, ajiita Simba

    Nchi yetu ina asili ya kijamaa hivyo kuchangia kodi ni jambo la kawaida hata kama utakuwa huna gari ilimradi tu una chombo kinachotumia mafuta
  2. Emma

    JamiiForums Tanzania Ajali Chalinze: Mkurugenzi Msaidizi wa Elimu ya Afya kwa Umma wa Wizara ya Afya Hellen Semi afariki

    Kuovertake sio kosa pia haijalishi gari 2 au la ili mradi sehemu iluhusu ikiwa na maana unaona umbali mkubwa pia unaamini gari yako ina pulling power ya kutosha kuovertake katika eneo ulilopimia kuovertake! Tabia ya madereva wa mbele kuongeza speed waonapo wanapitwa ipo hata hapa Dar mijini...
  3. Emma

    JamiiForums Tanzania Friends of E. Lowassa

    Lowassa ni mtendaji, mchapa kazi, mwenye maamuzi jamani huo ufisadi kaanza yeye? Kuna aliyesafi?
  4. Emma

    JamiiForums Tanzania Askofu mbaroni kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi

    Sio kila habari unaoisoma ina ukweli, umeambiwa uchunguzi unaendelea!
  5. Emma

    JamiiForums Tanzania kama unamishe zako za haraka usijaribu kupanda upendo za iringa utachelewa

    Duu hiyo kali yaani mmtoka Dar saa 4 mmefika moro saa 3:05 kesho yake?
  6. Emma

    JamiiForums Tanzania Mh. Edward N. Lowassa anapata wapi nguvu ya pesa?

    Kwa mtazamo wangu binafsi tuachanae na UNAFIKI sioni Rais bora ajaye ZAIDI ya Lowasa otherwise mna lenu jambo
  7. Emma

    JamiiForums Tanzania Serikali Yashindwa Kulipa Mishahara ya December

    Huo si ndio ushahidi wenyewe au unataka ushahidi gani?
Back
Top Bottom