Naitwa Emmanuel Mpesha mwalimu Idara ya secondary kwa aliye tayari tubadilishane uje mbeya Rungwe Tukuyu mimi nije wilaya ya Mbozi au Momba Mbeya. Namba 0768117713
Ohooo walimu mpooo sema tupo kama mfuko wa GEPF. SASA naongeza eneo mwalimu anayetokea wilaya kati ya momba au mbozi mbeya tubadilishane mimi ni mwalimu wa sekondari nipo Tukuyu wilaya ya Rungwe Mbya mkoa. Call 0768117713.
Kama kawaida natafuta mwl anayetoka wilaya ya mbozi mbeya anataka kuhamia wilaya ya rungwe mbeyq idara ya secondary naomba tuwasiliane k.k no. 0768117713
Jamani naombeni ushauri mimi niliibiwa cheti cha form4 pekee lakini vingine vipo kwani nimefika hadi chuo kikuu nimepata ajira ya ualimu tukuyu nilipofuatilia baraza watume statement of result naambiwa kuna mtu ametengeneza cheti feki kwa namba yangu ya mtihani mpaka leo nasumbuliwa huyo mtu...
Ndugu hata statement of result hupewi wanachofanya wanatuma kazini kwako mm mwenyewe ni mhanga mpaka leo sijaenda kazin nasubiri watume matokeo ni bora uanze mchakato mapema na gharama ni km ifuatavyo sh 27000 ya gazeti plus 21600 ya kutuma kazin nje ya dar, pole
Naendelea kusisitiza mwalimu anyetaka kuja mbeya wilaya ya rungwe tukuyu tubadilishane ikiwa unatokea wilaya ya mbozi mbeya mwl wa secondary. Call via 0768117713.
Ndugu zangu mm napenda kujua endapo mama mzazi kafariki amebaki baba na ameanza kuuza mali ovyo zilizobaki huku kaowwa mwanamke mwingine. Je naweza kumshtaki?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.