Nimepotelewa na vyeti vyangu, Naweza kupata vingine?

Mkuu process ni ndefu kidogo, nenda shule uliomaliza kachukue uthibitisho kama ulisoma pale an then nenda katoe taarifa polis an then katoe kwenye gazet la serikali likishatoka tangazo kaa wiki 2 an then ndo uende NECTA na ivyo vithibitisho upewe statment

Sawa mkuu....nashukuru.
Ngoja nianze mchakato
 
Mkuu process ni ndefu kidogo, nenda shule uliomaliza kachukue uthibitisho kama ulisoma pale an then nenda katoe taarifa polis an then katoe kwenye gazet la serikali likishatoka tangazo kaa wiki 2 an then ndo uende NECTA na ivyo vithibitisho upewe statment

Mm ni muhanga wa hili.NECTA hawatoi statement of result kwa muhusika.Pindi unapohitaji, unalipia fedha ya kutuma kule unapotaka iende, unakwenda na naksla ya tangazo gazetini, nakala ya kitambulisho chako na loss report ya polisi. Utafanya hivi kila utakohitaji matokeo yako.
 
nenda police na toa taarifa halafu katoe tangazo la kupotelewa na cheti gazeti la serekali eithet HabariLeo au Dailynews....chukua ukulasa huo utakaotoka tangazo wapelekee baraza na utaacha detailz za utakapotaka wapate uthibitsho wa cheti chako kilichopotea...pole xana
 
Dah...ahsante sana.
 
Mm ni muhanga wa hili.NECTA hawatoi statement of result kwa muhusika.Pindi unapohitaji, unalipia fedha ya kutuma kule unapotaka iende, unakwenda na naksla ya tangazo gazetini, nakala ya kitambulisho chako na loss report ya polisi. Utafanya hivi kila utakohitaji matokeo yako.

Dah...hili ni tatizo...
Hevi ofisi za necta zipo maeneo gani.
 
Mkuu process ni ndefu kidogo, nenda shule uliomaliza kachukue uthibitisho kama ulisoma pale an then nenda katoe taarifa polis an then katoe kwenye gazet la serikali likishatoka tangazo kaa wiki 2 an then ndo uende NECTA na ivyo vithibitisho upewe statment

Utumishi ,Idara, na hata mashirika huwa hawataki results statements wanapotoa nafasi za kazi we komaa na kilimo cha korosho huko Ntwara na Lindi,msalimie mkuu Sinziga huko
 
Last edited by a moderator:
Habari wana jamii!

Naitwa Isack Raphael, nimepotelewa na cheti changu cha kidato cha nne 2008, namba P0648/0130 Masasi Day Secondar School.

Naombeni msaada kwa atakae kiona anijulishe namba yangu ni 0687120061, Kimepotelea Dar es salaam na sasa nipo Mtwara au kwa anayejua nifanyeje ili nipate cheti kingine?

Nawasilisha.

kama umetoa photocopy polis watakupa lost report.,otherwise hawatokusaidia maana kuna rafki yangu alipoteza vyeti vyote vya shule na kuzaliwa alikua na copy chache,hzo ndzo alizopewa lost report ambazo hana walimkatalia.....Angalizo tujifunze kuwa photocopy ya vyet haswa academic certificates n birth certificate..
 
Ahsante mkuu....
Dah! Kumbe issue mzito eenh! Vipi inaweza ikanigharimu kama shilingi ngapi kwa mchakato mzima?

Gharama sio mara moja-kila utakapohitaji uthibitisho wa ufaulu wako wa elimu ya sekondari iwe kwa madhumuni ya kazi au kuendelea na masomo- kuna form utazojaza na kuweka picha ya passport size ili upate Statement of Results- uthibitisho huu NECTA huutuma moja kwa moja katika taasisi husika (kazini/shuleni/chuoni) na hutowahi kuutia machoni! Nyongeza: NECTA hawatoi cheti mara mbili!
 
Ndugu hata statement of result hupewi wanachofanya wanatuma kazini kwako mm mwenyewe ni mhanga mpaka leo sijaenda kazin nasubiri watume matokeo ni bora uanze mchakato mapema na gharama ni km ifuatavyo sh 27000 ya gazeti plus 21600 ya kutuma kazin nje ya dar, pole
 
Dah....poa
 
wadau kama mada inavyosema,nimepoteza vyeti vyangu vya kidato cha nne na sita.

Je nawezaje kuvipata,ni utaratibu gani natakiwa kutumia kuvipata tena?
 
Toa taarifa police upatiwe loss report...
Utaenda nayo baraza watakupa kibali cha kutangaza
Utarudi tena baraza na tangazo lako....watakupa utaratibu wa kupata vingine.
Kwakuanzia ni hivyo....lakini jaribu kupitia hiyo website kama ulivuoshauriwa kwa accuracy.
 
Necta wanatoa vyeti original vilivyopotea kwa wahitimu kuanzia 2008 na kuendelea, km ulihitimu nyuma ya hapo nafikiri kuna utaratibu fulani huwa wanafsnya, lakini huwezi kupata cheti!
 
Back
Top Bottom