mkuu wapi palipoandikwa kurasini?. bandari inaanzia posta ya zamani. Btw hizi ziko sokoine drive ni barabara ya kuelekea railway station au waterfront. kama ulikua unahitaji fremu kwa ajili ya biashara karibu.
mkuu naifahamu hiyo should ziko kigamboni tungi kwa masista au tungi soko maziwa. namba ya mwalimu ninayo ila nashindwa kukupa kwa sababu maelezo yako hayajitoshelezi mkuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.