Sometimes inabidi tupambane tu na hali zetu.. Hii dunia kuna roho mtakatifu na roho mtaka bifu... Marehemu ndo alimfuata castro gheto kwake akiwa na kisu bahati mbaya akafa yeye
Kwa upande wa huku city center maeneo ya bandari na kituo cha kati unga unapatikana utasema ni pakistani, sasa nashindwa kujua kwann hayo maeneo mengine unazidi kupotea lakini huku kwenye kitovu cha serikali mambo bado yanaendelea
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna siku moja walinirudishia hela yangu niliyobetia baada ya siku mbili wakidai kulikuwa na matatizo ya network, kuangalia matokeo timu nilizobetia zilikuwa zimeshinda
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.