Recent content by emkay

  1. E

    JamiiForums Tanzania Wazazi wenye watoto wenye mahitaji maalumu tukutane hapa

    Tuwasiliane nna mtoto pia ana usonji
  2. E

    JamiiForums Tanzania Autism (usonji)

    Nna kijana wangu ana usonji anahitaji kujiunga kidato cha kwanza.shida ni shule nmekosa kabisa.. nyingi zimemkataa
  3. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta Hacker mzuri

    Fanya mpango
  4. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta Hacker mzuri

    Simu
  5. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta Hacker mzuri

    Jinsi ya kuingia sasa kipengele
  6. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta Hacker mzuri

    Natafuta Hacker mzuri anifanyie kazi. Plz inbox tubonge
  7. E

    JamiiForums Tanzania Naomba Kujua Kuhusu Mikopo ya Riba nafuu kutoka Hazina.

    Jinsi gani unajiunga hazina saccos?
  8. E

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Vioiy, naomba na mimi hii, maana bundle sahivi linakata sana
  9. E

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tatizo la kutosikia vizuri

    Mimi nkipata mtu alitibiwa akapona masikio, ntashukuru sana
  10. E

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tatizo la kutosikia vizuri

    Mimi nlianza Regency na nlikutana na specialist wa masikio,,nlipimwa usikivu kwa ile mashine ambayo unavaa headphones conclusion ikawa nivae hearing aids, nlinunuw ambapo hazikusolve tatizo nlipoenda tena wakasema ntafute za bei kubwa ambapo nlielekezwa pale mtaa wa mhimbili na pale walipima...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tatizo la kutosikia vizuri

    Aise mimi mpaka leo sijapona,nmetibiwa sana tu
  12. E

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mwenye wimbo wowote wa somida yule msanii wa iringa naomba plz
  13. E

    JamiiForums Tanzania Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    Vipi watu hawa bado wapo? Stg makame, luten kalinga,lut mazije, kina afande Kelvin,majembe, Hugo na luteni urasa.. Afu Major maresa vipi alitokaga hapo?
  14. E

    JamiiForums Tanzania Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    Hakuna pipo ilioenda maramba 2013 hadi 2015 ?
  15. E

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Natafuta nyimbo mbili alizoimba somida. Wakwanza unaimbwa mwalimu alinambia nikazane shule,maisha magumu hapo baadae. Na wapili unaimbwa..so mida,na nyumbani nitarudi tena sio mida..afu anapiga so mida lalalalala
Back
Top Bottom