Recent content by Emhegele

  1. E

    JamiiForums Tanzania Msaada Video Conveter

    ahsante mkuu hebu nifanyie kazi
  2. E

    JamiiForums Tanzania Msaada Video Conveter

    jaman natafuta app nzuri kwa ajili ya kuhamisha video zangu kuwa 3gp format
  3. E

    JamiiForums Tanzania Wimbo Nitarudi na Roho yangu (Afande Sele)

    kwa hesima na taadhima nakuja tena kwenu wakuu kuomba msaada jinzi ya kuupata huo wimbo tajwa hapo juu ni baada ya kuutafuta sana nimeukosa naombeni kwa yeyote anae weza kunisaidia jinzi ya kuupata tafadhali
  4. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta computer aina ya Dell

    kwa arusha na Moshi inaweza kuwa inauzwaj jaman wadau
  5. E

    JamiiForums Tanzania Msaada simu yxtel (android g928)

    AHSANTE WAKUU NI WIKI 2 SASA NAFURAHIA, SIMU YANGU IMERUDI KATIKA HALI YAKE SASA. NI BAADA KUIFANYIA 'Factory Data Reset' nashukuru sana wanajukwaa kwa msaada na ushirikiano wenu mliouonesha :A S 101:
  6. E

    JamiiForums Tanzania Msaada katuni apps

    wakuu naombeni msaada wenu tafadhali, ni app gan naweza kutumia kwa kuchora katuni kwenye PC :help:
  7. E

    JamiiForums Tanzania Msaada simu yxtel (android g928)

    Msaada jinzi ya kuzipata default call barring password
  8. E

    JamiiForums Tanzania Msaada simu yxtel (android g928)

    ahsante mkuu hebu nilishughulikie
  9. E

    JamiiForums Tanzania Msaada simu yxtel (android g928)

    thanks mkuu nmejaribu pia lakini default password yake siipati kabisa
  10. E

    JamiiForums Tanzania Msaada simu yxtel (android g928)

    ahsante mkuu options zilizopo ni;- 1. SIM 1 2. SIM 2 3. IP DIALING 4. VIBRATION Ndan ya either SIM 1/2 kuna submenu 1. Fixed Dialing Number 2. Voicemail Setting 3. Fast Call Setting 4. Reply Message Hangup 5. others 5.1 Call...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Ni apps gani za android & iphone unazotumia au kujua

    nmevutiwa na hii thread hasa hapa kwenye. comment. tatizo langu ni kitufe cha play store kwe.nye simu yangu YXTEL G928 (ANDROID) ipo taratibu sana nifanyaje ili kui 'boost' ahsante wanajukwaa
  12. E

    JamiiForums Tanzania Msaada simu yxtel (android g928)

    habari wakuu naomben msaada kwa yeyote atakae weza nisaidia. Ni wiki ya 3 sasa simu yangu haipokei simu zote zinazoingia (ukinipigia utaambiwa simu inatumika) muda wote na cha kushangaza blacklist ipo empty namba zinazoingia naziona kwenye received calls. na mm nkipiga hakuna tatizo lingine...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kidato cha pili mtihani wa taifa utata

    jamani nitayapataje hayo matokeo ya form 2. nasikia tu yametoka ila nahitaji msaada zaidi jinzi ya kuyapata:laugh:
  14. E

    JamiiForums Tanzania Wamenikomesha tena kwenye hii semista ya tano

    Pole sana, inasikitisha sana kaka. Mungu yupo pia atafanya yake! Pamoja lakini.
  15. E

    JamiiForums Tanzania NTATUMEJE VIDEO YA 3GP ina 3.3 MB. Msaada tafadhali

    ahsante Mutwa naona bado unatujali sisi watu wako.
Back
Top Bottom