Recent content by emf

  1. E

    JamiiForums Tanzania Novice

    Thanks mgodi and Ulimkafu on behalf of Jf.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Wasio na vitambulisho marufuku kupiga kura Arumeru-NEC

    Utaribu wa kuwa na F 17 unaelweka na unapaswa kufuatwa. Lakini kutokana na utunzaji wa record ulivyo manually na kwa asilimia flani tabia ya watu wetu ya ujanja ujanja na kutokuwa wakweli, mda uliopo hautoshi ku update records.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete ateua wakuu wa mikoa mipya

    Kuongezeka kwa Mikoa na Wilaya Mpya kwa nadharia ni maendeleo. Ilipaswa kukua huku kuendane na Uchumi. Kinyume chake hali ya uchumi haiakisi haya makuzi. Kama Taifa tuwe na vipaombele. Haya ya mikoa mipya hayana uharaka
  4. E

    JamiiForums Tanzania Novice

    Salute Jf
Back
Top Bottom