Recent content by EmerickJantern

  1. E

    Harufu ya utapeli, kuna watu watalia na kusaga meno soon

    Mkuu samahani,naomba namba zao hao walokutafuta wasapu. Ofcourse ni matapeli,nataka niwacheki nichukue faida yao ya mapema zile buku 10
  2. E

    Natafuta kazi ya music production studio yoyote Dar es salaam

    Habarini wapendwa,natumaini mnaendelea vyema.Samahani mimi ni kijana wa miaka 22,naishi Buguruni,Dar es salaam.Nina ujuzi katika kutengezneza beat,mimi sio professional sana ila ninajua na ninaweza kwa uwezo wangu. Kama kuna mtu anafahama studio ya muziki inayohitaji music producer tafadhali...
  3. E

    Wanaojua watufundishe kuhusu 'Cortex digital Marketing' je, ni matapeli?

    Kaka naomba nisaidie namba zao hao jamaa niangalie nakconnect nao vipi niwapige. Maana wanajikuta wanajua sana
  4. E

    Wanaojua watufundishe kuhusu 'Cortex digital Marketing' je, ni matapeli?

    Hahaha kabsa,mkuu. Ntmn hata mm wajichanganye wengine nijipigie mkwanja wa bure
Back
Top Bottom