Recent content by Embezzler

  1. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu kaiba vitu vyote ndani kaondoka na mtoto na sijui alipo

    M.M.A.C.H.A.M.E Mliambiwa kenge hasikii mpaka damu zimtoke masikioni. Hivi wale mababu waliotoa tahadhari kuhusu wanawake wa Machame mnawaona walikua mataahira au wenye chuki na Hawa watu. Umevuna ulichostahili.
  2. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Chuki binafsi. Wapo ma singo maza wenye weledi. Ila hapo kwenye soda isiyokua na kizibo? Kwani wote wanaoolewa Leo wanavizibo? Kosa la singo maza Ni kwamba Kuna ushahidi kwamba kizibo hakipo.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Ubungo adhamiria kutokomeza biashara ya ukahaba

    Watoto shuleni hawana madawati mnahangaika na raia wema? Haya, mkishawakamata mtawafanyaje? Na wateja wao mnewapa njia gani ya kupunguza nyege? Kumbuka nyege Ni ugonjwa unao hitaji tiba fasta. Ama ndio mnataka wanetuwabakwe?
  4. E

    JamiiForums Tanzania Betty Mkwasa anafaa kumrithi Zuhura Yunus kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu

    Huyu huyu Betty Chalamila early 80's alikua RTD. Let us assume 1980 alikua 25 years minimum. Leo si atakua anakaribia 80? Tanzania imefikia hapa kwa uhaba wa watu? Si tu import kutoka nje. Wengine mtasema mbona makamu chair naye hawezi kutumwa dukani na Museveni, umakamu Ni political post.
  5. E

    JamiiForums Tanzania Betty Mkwasa anafaa kumrithi Zuhura Yunus kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu

    Huyu huyu Betty Chalamila early 80's alikua RTD. Let us assume 1980 alikua 25 years minimum. Leo si atakua anakaribia 80? Tanzania imefikia hapa kwa uhaba wa watu? Si tu import kutoka nje. Wengine mtasema mbona makamu chair naye hawezi kutumwa dukani na Museveni, umakamu Ni political post.
  6. E

    JamiiForums Tanzania Betty Mkwasa anafaa kumrithi Zuhura Yunus kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu

    Ana umri gani? Vijana wako chungu nzima watu mnapendekeza ancestors?
  7. E

    JamiiForums Tanzania Watu wasiyojulikana wamshambulia Mauzinde kwa kumkata masikio na kumtelekeza msituni

    Najiuliza sipati jibu. Hivi wateja wa wasenge wa kulipwa ni Nani? Je nukweli wasenge niwatamu kuliko wanawake? Au watu wanawatumia kwa maelekezo ya waganga?
  8. E

    JamiiForums Tanzania Wananchi wakaidi agizo la mbunge kubomoa Nyumba zao Sengerema

    Amechoka ubunge au amerogwa?
  9. E

    JamiiForums Tanzania Ajira lukuki, heko ccm na serikali yake!

    Ma cashier, walinzi, sales persons, accountants 450. Tutumie akili kidogo. Kiwanda kinacho ajiri watu 400 ukiangalia vizuri, Sasa hii outlet watu 450. Wait and see msilete uchawa kabla hakujakuchwa.
  10. E

    JamiiForums Tanzania Lucas Mwashambwa una matumizi mabaya ya chuki

    Lucas Mwashambwa anaangalia vocha ilikotokea, Hana maadili Wala itikadi. Hata TLP wakimtumia vocha ya buku kumi atawatosa waliompa buku Saba. Na sidhani Kama Kuna mtu anamchukulia serious huyu chawa uchwara. Ukiona mwanaume anamsifia mwanamme mwenzake kwa kazi nzuri ujue hapo Kuna Jambo.
  11. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Kumpa hela mama mkwe wako wa zamani ni sawa au niache kabisa kujipendekeza?

    We muhuni Nini? 30,000 unaileta kwenye group discussion?
  12. E

    JamiiForums Tanzania Wanaume wanne wamcharaza mwanamke viboko kisa dini

    Hamna dini hapo. Kisingizio tu.
  13. E

    JamiiForums Tanzania Wapi napata Master room ya kupanga kwa 100k Dar es Salaam

    Njoo Mbagala. Hiyo 100 k Ni Kodi ya miezi 4. Usafiri wakumwaga. Maji usiseme, mabibi nje nje.
  14. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wa Kigoma pekee wanaulizwa sana utaifa wao kuliko mikoa mingine ya mipakani?

    Hata TANGA na Kilimanjaro Kuna mpaka. Tatizo wa huko Kigoma uungwana hawana. Umeshasikia TANGA au Kilimanjaro Kuna watu wameingia nchini na SMG?
Back
Top Bottom