Recent content by Embakas

  1. E

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu kilimo cha ulezi

    Nyuzi za maana Kama hizi zinakosa wafafanuzi! Angetajwa mayele hapa kila mtu angekuwa mchambuzi, kwel Vita ya kiuchumi Ni hatari Zaid kuliko vta zngne
  2. E

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu Tractors zilizotumila Afrika Kusiniin South Africa

    Nilikuwa songea juz Kati nikamkuta bwana mmoja anamassey 90hp amechukulia msumbiji chuma inanguvu ad inaboa anasema katumia 31m liko vzur Ni 4wd linaweza bomoa hata barabara ya lami tatizo jamaa akawa hatak kuwa muwazi namna ya kupata msumbiji anahsi nitaharibu biashara yake ya kulima mashamba...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Nimefika Katavi na kujionea jinsi watu wanavyotajirika kupitia Kilimo

    Mkuu mashamba ni tambarale au milima, na je vp mashamba pori wanauzaje
  4. E

    JamiiForums Tanzania Kati ya mahindi na alizeti kilimo kipi kinalipa?

    Songea vjjn mkuu
  5. E

    JamiiForums Tanzania Mbegu za mahindi DK ni mbegu bora

    Wilaya ya Hanang maeneo y katesh
  6. E

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio bei za mbolea ambazo wakulima watanunulia kuanzia Agosti 15, 2022 baada ya bilioni 150

    Ndugu zangu naomba mnitajie bolea inayofaa kwa kilimo Cha mpunga ktk hatua zote had mavuno nataka ninunue saiv niweke stoo kuepusha kukutana na wimbi la mbolea kupanda Tena! Pia naomba ushauri km mbolea za maji mfano super gro km inafaa kw kilimo Cha mpunga
  7. E

    JamiiForums Tanzania Canola ni zao la mafuta linaloweza kuleta unafuu wa tatizo la uhaba wa mafuta Tanzania

    Znapatkana kwa magendo au vp maana Kam vle biashara kificho hii
  8. E

    JamiiForums Tanzania Mbegu za mahindi DK ni mbegu bora

    Unalimia maeneo gan mkuu
  9. E

    JamiiForums Tanzania Mbegu za mahindi DK ni mbegu bora

    Wanajamvi Mimi kwa uzoefu wangu yangu nianze kulima mahindi mwaka 2018 mkoa wa manyara, nmekuwa nkilima dk89 hii hubeba watoto waeili had watatu, huhtaj mvua ya kutosha, kwa upande wa dk31 inabeba wawl au mmoja punje zake nyeupe na kubwa za kuvutia machon! Mbegu hii inaiva mapema ht km mvua...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Kati ya mahindi na alizeti kilimo kipi kinalipa?

    Mrejesho boss mashamba kununua ambayo hayajakatwa miti Ni 50000
  11. E

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Shamba pamoja na majengo na trekta vinauzwa

    Nikitaka kwa kilimo Cha mahind vp trecta inaeza kulima
  12. E

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha dengu

    Songea vjjn mkuu
  13. E

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha dengu

    Jaman Mimi nmelima dengu Hanang nataraji kuvuna mwez agust, lakin katk pita pita zang z kutafuta maisha nikakuta mkoa fulan Kuna udongo ambao pmj na mvua kukata mwez wa nne mwanzon mpaka sasa Kuna unyevu kwa juu je mazngra hayo yanafaa kwa kilimo Cha dengu hata km udongo sio mweus? Hilo ni mosi...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kwenda kuanzisha kilimo mkoa wa Katavi

    Wapo wanalima bila mbolea wanapata gunia 15 wastan lakn ukihtaj mavuno bomba unatia mbolea kwa heka mfuko mmoja au miwil, kwa maharage, soya, na alzet Haina haja y mbolea
  15. E

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kwenda kuanzisha kilimo mkoa wa Katavi

    Nataman tutengeneze group la WhatsApp tupeane hamasa ktk kilimo, magroup meng ni fake Sana! Npen namba zenu mlioko katav, mbeya na mikoa mingne niwaunge kweny group
Back
Top Bottom