Recent content by emastang

  1. E

    Ujue ugonjwa wa Kichocho (Bilharzia); Chanzo, dalili na tiba

    Habari ndugu zangu.... Mimi ni mkazi wa kanda ya Ziwa, nimepoteza ndugu wengi waliofariki kwa ugonjwa wa kichocho. Hivyo naomba msaada wenu ili niweze toa elimu kwa jamii inayonizunguka ili wawe salama. Napenda kujua yafuatayo .Mtu anapopata vijidudu vya kichocho inachukua mda gani mpaka...
  2. E

    Msaada ( matumizi ya kalender method)

    Habari Mi na mrs tunatumia kalender method kama njia ya uzazi wa mpango, tunamwaka sasa tukitumia njia hii kwa ufanisi. Changamoto: Hivi Karibuni siku zake za hedhi zimekuwa zikibadilika badilika sana, kiasi Tunaanza kupata hofu katika matumizi ya njia hii. Kwa wazoefu naomba msaada kwahili.
  3. E

    Nauza Samaki wabichi

    Nipo Musoma mkuu, ukihitaji unatumiwa
  4. E

    Nauza Samaki wabichi

    Kiwango cha chini ni kg100, mi nipo Musoma pia ni muajiliwa wa serikali, cha msingi tuwasiliane,upo mkoa upi ndugu
  5. E

    Magari Yasiyo Toyota

    Mi nina LDV CONVOY, ipo poa shida vifaa kupatikana, mwenye kuelewa ama kuuza vifaa hivi pse ni inbox nitakuwa mteja wako, ushauri pia nakaribisha
  6. E

    Umetafuta Fundi wa gari yako? Uliza chochote kuhusu gari lako

    Habari, mna vifaa vya LDV CONVOY hasa, pampu, nosel nk
  7. E

    Nauza Samaki wabichi

    Sato 7500 kilo Sangara 5500 kilo
  8. E

    Nauza Samaki wabichi

    Nauza kwa bei ya jumla, mi nakuuzia kwa bei ya jumla, tunapima kwa kilo kulingana na kilo unazoitaji, unatuma pesa ya kilo za samaki unazotaka then nakutumia mzigo. Njia ya utumaji. Tunatuma kwa malori yanayobeba mboga hasa ya samaki. Gharama za usafiri ni juu yangu. Karibu.
  9. E

    Nauza Samaki wabichi

    Utapata, nipo Musoma, wahitaji kiasi gani
  10. E

    Nauza Samaki wabichi

    Nicheck kwa hiyo no kaka, ili tuongee ama ni inbox namba yako
  11. E

    Nauza Samaki wabichi

    Hela unatuma kabla ya mzigo kufika
  12. E

    Mwenye kumiliki ama kuuza vifaa vya LDV Convoy tukutane hapa

    Habari. Kwa mwenye kumiliki gari LDV CONVOY, ama mwenye kuuza vifaa, ama mwenye kuhitaji gari hizi, anakaribishwa hapa, lengo ni kujuana na kusaidiana baadhi ya mambo fulani kuhusu gari hizi. Asante :Kwa mawasiliano waweza ni check 0766968340, ama inbox hapa. KARIBUNI
  13. E

    Nauza Samaki wabichi

    Habari, Ninatoa huduma ya kutafuta na kuandaa samaki wabichi na kutuma kwa walio mikoani, nipo Musoma. Kwa anaeitaji anicheki (inbox). Wanakuja wakiwa wameganda. Sato na Sangara wanapatikana. Contact:0766968340
  14. E

    Kamata fursa, Kuwa milionea

    Musoma vipi, napenda kujiunga
  15. E

    BANDIN aka SANTO ya kiswahili

    Kama unalink ya kudownload tamthilia ya BANDIN Santo waliyoitafsiri kiswahili tupia hapa, nasi tuidownload. ASANTE
Back
Top Bottom