Msaada ( matumizi ya kalender method)

emastang

Member
Jun 29, 2016
16
0
Habari
Mi na mrs tunatumia kalender method kama njia ya uzazi wa mpango, tunamwaka sasa tukitumia njia hii kwa ufanisi.
Changamoto:
Hivi Karibuni siku zake za hedhi zimekuwa zikibadilika badilika sana, kiasi Tunaanza kupata hofu katika matumizi ya njia hii.
Kwa wazoefu naomba msaada kwahili.
 
Na hiyo ndo bonge LA weakness ya calendar method ...ngoja wajuzi wa uzazi wa mpango waje mana condom kwa wanandoa ata hainogi
 
Habari
Mi na mrs tunatumia kalender method kama njia ya uzazi wa mpango, tunamwaka sasa tukitumia njia hii kwa ufanisi.
Changamoto:
Hivi Karibuni siku zake za hedhi zimekuwa zikibadilika badilika sana, kiasi Tunaanza kupata hofu katika matumizi ya njia hii.
Kwa wazoefu naomba msaada kwahili.
Hi Emastang, nimeeleza A-Z juu ya Familly Planing katika blog yangu na post hiyo ni ndefu mno yenye Njia zote za Uzazi wa mpango Kwa njia za Kisasa na zile za Asili(Including hiyo Calender Method), na pia nimeeleza Faida na MADHARA ya njia hizo. Bofaya hapa kusoma post hiyo itakupa picha kamili.
 
Back
Top Bottom