Recent content by Emashi

  1. E

    Mikakati dhidi ya Dr. Slaa: UKAWA mnaona hii ni sawa?

    Nadhani haupo makini maana mccm alisema jana kuwa rais wa Libya alikuwa Saddam Husseim washabiki dole gumba wakamshangaa. Alipoteza dira na kujikanusha kisha akatoa jibu sahihi kuwa Saddam Hussein ni rais wa Kuwait. JE NAYE MAFUNGUO ALIPOTEZA MAKUFULI?
  2. E

    Nimezinduka naenda UKAWA

    Kama ni uongo au ukweli picha ya nini? Tazama picha za anguko la CCM kuanzia leo hadi siku ya maziko yake 25 Oktoba
  3. E

    Nimezinduka naenda UKAWA

    Waambie wanaCCM wote nimezinduka nimeenda CHADEMA/UKAWA na sitarudi tena CCM nabaki UKAWA. Tuonane Oktoba 25
  4. E

    Nchi yangu imepata Uhuru!

    Maswali:(1)Tanzania ilipata uhuru lini? (2)Tanganyika ilipata uhuru lini? (3)Mashariki Tanzania inapakana na Nchi gani?
  5. E

    Je katiba mpya Tanzania imesahau haki za wanaume?

    Nimepitia rasimu ya katiba mpya 2013 sijaona ibara yenye kutamka HAKI ZA WANAUME wala WAGANE. Haki za binadamu zimetaja makundi mengi kama haki ya mtoto, haki za vijana, haki za wazee, haki za wanawake(na wajane) na makundi mengine. Lakini wanaume naona kama wamebaguliwa au ndio tuseme katiba...
  6. E

    Tanzia: Kada wa CHADEMA ndugu Privatus Mahabusi afariki dunia

    MAZISHI: Marehemu amezikwa leo, Alhamisi 15/08/2013 nyumbani kwao. Tunawapa pole wazazi, familia, majirani, ndugu, jamaa na marafiki wote kwa msiba huu mkubwa wa mpendwa wetu. Mungu atupe maisha ya wokovu na amani sisi sote tulio hai. Marafiki kutoka kanda ya kaskazini mliotuwakilisha huko...
  7. E

    Tanzia: Kada wa CHADEMA ndugu Privatus Mahabusi afariki dunia

    Mwili wa marehemu umesafirishwa jana saa tatu na robo usiku kwenda Mahenge, Morogoro. Taarifa za muda huu ni bado hawajafika na safari inaendelea. Update: Hatimaye mwili wa marehemu umewasili majira ya saa nne na dk 45 usiku...
  8. E

    Poleni CHADEMA Meru kwa msiba

    Mauti ni adui.Mwili wa marehemu Privatus umewasili Mahenge kwa maziko. Maisha ya mwanadamu ni mafupi na huenda wewe umebaki na masaa au miezi au miaka michache tu.
  9. E

    Mahudhurio rasmi mkutano wa Mwigulu Nchemba jijini Dar es salaam

    Tumefikia hatua ya kuiua CCM na kijana mwigulu kutelekeza jimbo lake.
  10. E

    Naipenda Sana Tanganyika Huru

    Sawa kabisa. Ila Tanganyika iko huru ndani ya mioyo ya Watanganyika. Tanzania ni huru tangu lini?
  11. E

    Naipenda Sana Tanganyika Huru

    Mzee kuishi ni kazi na kufa ni cha wote.Hivi Nape ni nani? Tanzania ni nchi iliyopata uhuru lini?Nipe jibu,au......
  12. E

    Naipenda Sana Tanganyika Huru

    Uhuru wa Serikali ya Tanganyika na Mapinduzi Zanzibar,najua!Lakini Tanzania ilipata uhuru mwaka gani?
  13. E

    Siwaelewi CCM kuhusu Amani Tanzania

    Kweli Siwaelewi CCM. Juzi juzi kama vile walisema AMANI inaharibiwa na baadhi ya vyama vya upinzani. Lakini sasa nasikia kuwa watu kutoka nje ya nchi wanaharibu amani yetu! Suala la udini na kauli tata zinaimaliza na kuizika CCM? Tuikubali CHADEMA Nguvu ya Umma na Amani Tanzania. Chagua CHADEMA...
  14. E

    CHADEMA na Sakata la Gas Mtwara

    Ni kweli hakuna jambo pasipo mwanzo wake. Mimi napenda kusema wazi kuwa wanasiasa wa vyama vya upinzani hasa CHADEMA ni watu makini sana kiasi cha kuamsha watanzania kudai haki zao kwa nguvu ya umma. Kinachotakiwa ni watanzania kuiamini Chadema nchi nzima ili kukomesha dhuluma ya CCM kwa...
  15. E

    Kwa nini TCRA, wasishinikize TV station za nchini zote ziingie pia kwenye mfumo wa SATELITE pia?

    Acha kuchokoza biashara za watu! Unataka kufahamu nini katika hayo mambo ya king'amuzi? Je!hujui kuna issue za simu zao na speed governor? Watanzania hamtakiwi kupata habari muhimu maana mtaanza kuandamana kama watu wa mtwara. Hakuna cha satiliati lazma mtanunua vinq'amuzi tena nasisitiza vile...
Back
Top Bottom