Recent content by Emasa

  1. Emasa

    Wachumba wasiolingana kielimu

    Nadhania hapa ndio umuhimu wa kutokuwa na gap kubwa umeonekana waziwazi, kwa sababu isingekua muhimu angekuacha bila kukusomesha mkachapa mwendo, sio wote wenye nafasi hizo za kuweza kuwasomesha wenza wao.
  2. Emasa

    Kuna mtu kaniuliza hili swali jamani, anataka msaada wa Mawazo yenu. Maji yamemfika shingon

    Kha! huyo asha fanya pipi anakosa nini kwa huyo mme wake mpaka anaonja onja alikubali kuolewa kwa nini? Si angebaki kuwa cha wote tu ili ajiridhishe tu? Hivi vitu vina Hati Maliki eti.....Ukishajimilikisha kwa mtu matumizi ni kwa muhusika na si vinginevyo Mara tatu ni More than Much, Hata...
  3. Emasa

    Wachumba wasiolingana kielimu

    Tunaposema tunawajua watu wengi wenye tofauti kubwa kielimu alafu ndoa zimedumu sipingi wapo ila katika Asilimia ngapi? Ni ndoa ngapi za namna hiyo hudumu? KUna ndoa kudumu kwa sababu tu wanandoa wameamua Kuvumiliana kwa sababu ya vitu fulani fulani lakini ndoa zenye afya kabisa(sijamanisha...
  4. Emasa

    Yaliyojiri: Kongamano la Katiba: 15 Januari 2011 Nkrumah UDSM

    Shukrani sana na Hongereni waheshimiwa wote mliotuwezesha kufatilia mjadala huu hata huku kusiko na Luninga wala, Big up kwenu wana JF wazalendo mliokuwa mkiripoti live. Nimepata mambo mengi ya msingi kwa kazi yenu njema. Mbarikiwe.
  5. Emasa

    Mapenzi ktk vyuo kuu

    Inakua haijakusudiwa in the first place.
  6. Emasa

    Hatimaye rais wa Tunisia asalimu amri mbele ya nguvu ya umma!

    Safi sana kwa watu wa Tunisia hii ndio uhalisia wa kile nguvu ya watu yaweza fanya, Watch out you so called Leaders in Tz Hasira za watu zitawatafuna tumesha choka na ukora wenu.
  7. Emasa

    Toaaaa

    Dah! Hizi nyumba zetu za uswahilini nazo zina mambo..
  8. Emasa

    Mapenzi ktk vyuo kuu

    Haya mambo hutokea tu, ukiangalia wapo wanaokuwa nao 24/7 alafu wana wacheat sembuse kwa waliowaacha nyumbani? Na kucheat sio kutompenda mpenzi wako ajali hutokea.
  9. Emasa

    Kitu gani kitapotokea kwako...ndio itakua furaha yako?

    Siku uchafu wa sisiem utakapo ondoka Ikulu.
  10. Emasa

    Yaliyotokea arusha, r.i.p freedom fighters...

    Inasikitisha sana ni rahisi sana mtu kusema chochot eanachojisikia, But if you put yourself in the position of their families and beloved ones you Cannot take this issue that lightly na kusema kuua wachache wanao taka kuleta fujo. Damu isio na hatia inamwagika kwa Ujinga wa wanaojiita viongozi...
  11. Emasa

    Hati ya mashitaka waliyosomewa viongozi wa CHADEMA leo Arusha

    Wameiba kura,wamejisimika kwenye uongozi sasa yameanza kuwashinda na wana anza kutumia nguvu kipumbavu hata zisipohitajika na kupoteza maisha ya watu wasio na hatia, Mungu wa haki anaona na ninaamini atazidi kututia nguvu ili kupigania haki yetu. Tanzania haijabinafsishwa kwa watu wachache...
  12. Emasa

    Ukahaba

    Hahahaha Mheshimiwa acha hizo akisema maene ndo ushawishi mkubwa kesho utataka kwenda kuhakiki afadhali aache hivyo2
  13. Emasa

    Kikwete kuongelea ufa wa udini ni geresha tu

    Action speaks louder than words, Matendo yake ni dhahiri maneno ni porojo tu kuwafumba watu macho nionavyo kuna Mheshimiwa ana agenda binafsi hata kama watu watakubali au watakaa ukweli uko wazi.
  14. Emasa

    Watanzania kenueni meno sasa na kubezana badala ya kuchukua hatua, TUTASAGA MENO!!

    hakuna kujitoa sadaka mpaka kidole cha mwisho kishindwe kujitikisa ni kukabiliana na kupambana.
  15. Emasa

    Watanzania kenueni meno sasa na kubezana badala ya kuchukua hatua, TUTASAGA MENO!!

    Ni kweli kabisa kama hatutakua wenye kuelewa tunataka nini na kukisimamia tukaendelea na hizi nidhamu za uoga huku tukijua kabisa ni haki yetu kujua kule tunakopelekwa na kuwa na mchango mkubwa wa maamuzi kwa sababu sio siri Serikai imekua ya wachache wasiopendwa ndio wanaotuamulia mambo kwa...
Back
Top Bottom