Recent content by emanuellyimo

  1. emanuellyimo

    Paul Makonda umekosea sana kuzungumzia suala la Shilole na Uchebe hadharani baada ya kufuatwa na Uchebe

    Wakuu kumbukeni Shishi baby ni Mtangaza nia uko Igunga sasa msishangae haya mambo ya kuhurumiana yanatokea sasa kupigwa Miaka yote anapigika lakini yote kwa yote NDOA na iheshimiwe na Watu wote
  2. emanuellyimo

    Wabunge wanaoendelea na ubunge wasilipwe kiiunua Mgongo

    Hoja yako nzuri sana lakini nachokwambia hakuna wa kugusa maslahi ya hao Waheshimiwa Wabunge zile meza zitagongwa mpk zipauke na kila jambo watalikwamisha mfumo unawapa nguvu kubwa sana hao Watu lakini siku wakiguswa kwenye hayo Maslahi yao ndipo Bungeni patakapofuka moshi mzito amini ili
  3. emanuellyimo

    Highland Villas appartments Mikocheni inamilikiwa na nani?

    Mmiliki wa izo Appartment ni Mfanyabiashara Firdaus Uhusein ni mkopo toka Bank ya Dunia nadhani kuna wakati rais wa Bank ya Dunia alitutembelea na akaenda kuukagua huu mradi
  4. emanuellyimo

    Dereva fahamu HAKI na WAJIBU wako unapokutana na Traffic Barabarani kuepusha Migogoro

    Hapana NIT wanafundisha Dereva usimame unapoona Mtu anakuja uelekeo wa Zebra akiwa mita 50 ni ivyo
  5. emanuellyimo

    Wakati wa Afrika kuwa na nguvu kiuchumi ni sasa

    Namaanisha wakati Duniani uko Mataifa yenye nguvu kiuchumi Yanapambana na Ugonjwa hatari wa Corona Sisi uku Afrika tungesimamia Maendeleo yetu sisi sote Kazi tungezifanya kwa bidii na maarifa hakika Mataifa ya Afrika uchumi ingelisimama Sent using Jamii Forums mobile app
  6. emanuellyimo

    Wanawake wa kiafrika ni wanawake wa ajabu sana

    MWANZO 3:16 Akamwambia mwanamke, Hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako; kwa utungu utazaa watoto; na tamaa yako itakuwa kwa mumeo, naye atakutawala. Sasa kama Mungu ametaka tuwatawale iyo haki sawa kwa wote mnaitolea wapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. emanuellyimo

    Nani atakuja kutufidia sisi kama nchi kutokana na mradi usio na tija wa SGR?

    Mtoa mada anatumika na Mabeberu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. emanuellyimo

    Kwa kauli ya jana ya Mh. Mbowe namuunga mkono asilimia 100%

    Ifike mahali uku ndani tukubari na mawazo ya vyama vingine Hakuna ambaye haoni kazi nzuri anazofanya rais Magufuli Lakini kwakua rais Magufuli ni Mwanadamu na kuna sehemu anaweza akawa ametereza au ameshindwa kupafikia na vyama mbadala wamepaona na kupasimamia Basi tusijigeuze kama jamvi la...
  9. emanuellyimo

    RC Mnyeti unacheza na moto. Hakuna aliyewahi kujaribu kuwashusha Wachaga akafanikiwa

    Wachaga ndio Waisrael wa Afrika ivyo mkiwalaani wale waliobarikiwa nanyi mtalaaniwa ila mkiwabariki waliobarikiwa hakika Mungu atawabariki Amen Sent using Jamii Forums mobile app
  10. emanuellyimo

    Naombeni msaada nimetapeliwa

    Wakati mwingine unawaza hii Jamii Forums ina Watoto tupu wa LY waliomaliza juzi auuu...maana uwezi tegemea msaada wa mawazo kama mko hv Mtu ametapeliwa mnaanza kumcheka na kumdhiaki kama hujawai tapeliwa basi uwezi jua Mtu anatapeliwa vipi? Mjifunze kukaa kimya kama huna lenye msaada kwa mfikwa...
  11. emanuellyimo

    Nawauliza wanaume: Umeshawahi kumuwekea mpenzi wako pedi kwenye pant yake? ilikuaje?

    Mambo mengine ni ya ndani uko hakuna Mwanamke anayejivunia period tuwaache tu kwa kweli
  12. emanuellyimo

    Je, haya ni matumizi sahihi ya mali ya umma?

    Hapo hakuna shida ni jambo jema kufurahi pamoja na wale walio chini yako Wote wanaotumia Magari ya Serikali ni Watumishi wa Umama ivyo hakuna sababu ya kutoyatumia ata wakati mkiwa na furaha
  13. emanuellyimo

    Je, Bongozozo ana nia iliyojificha?

    Hakuna Mzungu mwenye Mapenzi mema na Mtu mweusi ifike mahali tujifunze yule Mzungu Dj aliyesambaza Ukimwi kwa Wadada wengi wa Kiafrika Wadada zaidi ya 600 tusimfurahie tu kwakua anaongea Kiswahili Mi naungana na Mtoa uzi tuwe makini sana na Watu aina ya Bongozozo tunaweza kuja lia baadae Mtu...
Back
Top Bottom