Recent content by emanuel laizer

  1. E

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CHADEMA wamkaribisha Lowassa

    Asanteni wabunge wa chadema kwa kukiri kumpokea mzee weyu low as a, watanzania baadhi wanaanza kutuonyesha ukabila hasa kwenye kupeana ajira na Leo wanaleta usoni, jeshi no wasukuma wamejaa kisa wakubwa ndio wao, tunawataka viongozi was kutujali site,
  2. E

    JamiiForums Tanzania Kuchukua dola Tanzania, CHADEMA fanyeni hili

    Ikiwa lowasa anataka kuja mpokeeni
  3. E

    JamiiForums Tanzania Kauli ya UVCCM Bagamoyo kuwa rais hatatoka kaskazini vipi kwa Lowassa, Migiro na Sumaye?

    Makucha mapema kabla ya kuingia ikulu , na mkiingia je?
  4. E

    JamiiForums Tanzania Kauli ya UVCCM Bagamoyo kuwa rais hatatoka kaskazini vipi kwa Lowassa, Migiro na Sumaye?

    Mwakata endelea ila shoka liko shinani kwa ajili ya watu Kama wewe!
  5. E

    JamiiForums Tanzania Kauli ya UVCCM Bagamoyo kuwa rais hatatoka kaskazini vipi kwa Lowassa, Migiro na Sumaye?

    Mwakata endeleya name huna pa kukimbilia
  6. E

    JamiiForums Tanzania Kauli ya UVCCM Bagamoyo kuwa rais hatatoka kaskazini vipi kwa Lowassa, Migiro na Sumaye?

    Mwakata i think we we ndiyo wa kwanza kutuaminisha juu ya ukanda na Shaka wewe unatoka kando ya ziwa ila mnatufundisha name tukifundishika hatuachiagi
  7. E

    JamiiForums Tanzania GE2015 Lowassa kuzungumza na wanahabari baada ya kumaliza kikao kizito na familia pamoja na marafiki zake

    Hakati rufaa , rufaa nzuri ni pale ccm isipoingia madarakani!
  8. E

    JamiiForums Tanzania GE2015 Lowassa kuzungumza na wanahabari baada ya kumaliza kikao kizito na familia pamoja na marafiki zake

    Kumbe mlimuengua kwa umasai mie sijawhi kujua Tanzania iko hivyo!
  9. E

    JamiiForums Tanzania GE2015 Lowassa kuzungumza na wanahabari baada ya kumaliza kikao kizito na familia pamoja na marafiki zake

    Wewe mnaanza kutoa kucha , mmasai ndio nani , mtavuna kwa hizo kauli!
  10. E

    JamiiForums Tanzania Lowassa anapendelewa na Vyombo vya Habari?

    Lowassa dume LA mbegu wivu was kikwete ni umaarufu wa lowasa , fahamuni mnamuandama lowasa na hakuwa mwenyewe kweny waliotoswa anzani kuzungumzia hatima ya mamilioni iliyokamatwa zilikuwa za nani?
  11. E

    JamiiForums Tanzania GE2015 Lowassa kuzungumza na wanahabari baada ya kumaliza kikao kizito na familia pamoja na marafiki zake

    Hakuna msafi ndani ya ccm bora lowasa , Magufuli fisadi mkubwa
  12. E

    JamiiForums Tanzania Safari ya matumaini inaweza kuendelea

    Laiti mgejua yaliomo miyoyoni mwa watanzania msingeongea ni kwa kuwa Mungu amewapa fursa tu ya vijielimu vya mtandao ndio maana,
  13. E

    JamiiForums Tanzania Mchawi wa UKAWA ni UKAWA wenyewe

    Magufuli so mchapa kazi anajua anachokitafuta ila kuna mamba wanamsubiri baharini hatakawia
  14. E

    JamiiForums Tanzania Kwa timu hii ya rais na makamu wa rais, CCM tutashinda 2015

    Ccm kaburini ni wakati wake
  15. E

    JamiiForums Tanzania Baada ya jina lake kukatwa, haya ndiyo yanayomsumbua Edward Lowasa mpaka anashindwa kula

    Yeye Hana mori ni walioko nyuma yake nawaambia kivuli kinaishi!
Back
Top Bottom