Mimi mwenyewe sijajenga na viwanja ninavyo 3 na nilianza ujenzi nikasimama nikaingia kwenye biashara sasa naona mambo yanakwenda na nikitaka kuendelea ujenzi naendelea bila.kuwa na mawazo nachoamini mimi kama uko kwenye biashara ukawa na nizamu ya pesa na mzunguko upo swala la kujenga ni jambo...
Na ukiumwa unaingia bandani au Shamba unachoma Sindano na ukitaka sukari unaingia bandan unachota bado pesa ina umuhimu mkubwa sana hayo mambo ulioyaongea ni selusi ndogo kwenye maisha
Kweli wengi wanajifanya ni vichaa lakini sio vichaa mimi kuna mmoja nilikuwa namjua ni kichaa lakini juzi nimekutana nae kwenye v8 nyeusi akiendeshwa na gari lilisimama akawa anaongea na jamaa mmoja yule alivyokuwa anaongea nae alivyomaliza gari iliondoka jamaa akaja akatuambia jAMAA NI USALAMA
Hayo ni mambo ya kawaida sana kama sisi wa Mikoani tunaogiza bizaa tunakutana na changAmoto sana unatoa odar anakwambia.ninacho unatuma pesa unakuta hana anaanza kutafuta kwenye Maduka mengine
Ni Sawa lakini,kwa huo umri bado hajakomaa kiakili na kujua maisha ni nini na ndoa ni nini wengi bado wanskuwa na maisha ya anasa na ujana unakuwa mwingi nachoona mimi ni asilimia ndogo sana ukampata na akawa anajua nini maana ya ndoa labda mungu awe amekuchagulia na Ukatulia nae nachokuambia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.