Recent content by emajaribu

  1. E

    Ushindi wa Lissu ni muhimu sana kwa wachaga wote, wachaga walihitaji sana kujinasua na ndoano ya kubambikwa uchadema.

    Mbowe akafanye biashara nyingine amuachie Lissu kasababisha shida kwa vijana wafuasi halafu yeye anaibukia Ikulu
  2. E

    Vijana wa miaka 20 Kenya wanajadili mustakabali wa nchi yao kwa weledi mkubwa sana. Vijana wa Tanzania wanakwama wapi?

    Vijana wa tz wanawaza Udaku Bongo flavor Simba na yanga na Kusifu pombe na ngono
  3. E

    Mapenzi na heshima utayapata kwa mgeni wa mapenzi uliemzidi umri, Tafuta binti mwenye 16 hadi 20, usije kufanya kosa la kuoa mwanamke mliefanana umri

    Hii mada umeongea point halisi wasichana ukipishana naye umri ana rahaa yake ila mwanamke yeyote akifika miaka 30+ ni karaha sana
  4. E

    Saikolojia: Hatua tano za kuukubali ukweli/uhalisia

    Duuuh psychology ni kitu hai umepita mule mule ila sijapenda umemaliza na siasa za kumsifu mtesi na kundi lake
  5. E

    Watu wa Stationery tunaomba serikali ichunguze kupanda kwa bei za karatasi na vifaa vingine

    Hakuna kiwanda cha karatasi za photocopy au printing paper kimewahi tengeneza Tanzania mwanzo Mufindi walikua wanatengeneza duplicating paper
  6. E

    Lissu: Rais Samia aruhusu au asiruhusu, nakuja kufanya mikutano ya hadhara

    Tunaingia kwenye wimbi jipya la hard politics
  7. E

    Katiba Mpya isiwe ishu ya kisiasa

    Asante kwa mawazo mazuri tunataka kutatua tatizo kwa njia ile ile iliyofeli mwanzo tutakuwa na shida siasa washindane kwa mambo mengine
  8. E

    Katiba Mpya isiwe ishu ya kisiasa

    Kweli Kuna shida pia kwenye elimu ili utake katiba mpya ijue kwanza ya 1977 mapungufu yake
  9. E

    Katiba Mpya isiwe ishu ya kisiasa

    Katiba ni document ya kisheria na kisiasa suala isiwe kama hoja kuu ya chama kitachofuata ni kupingana kisiasa wkt ni takwa la makundi yote
  10. E

    Katiba Mpya isiwe ishu ya kisiasa

    Wanasiasa wakae pembeni watuachie wananchi tudai katiba yani Viongozi wa dini Asasi za kiraia Waandishi wa habari Wakulima Wafanya biashara Wafanyakazi Machinga, boda na bajaj Nk Kila kundi lipaze sauti kwa nafasi yake NB. hii ikikaa kisiasa italeta mvutano wa kivyama hatutapa Katiba
Back
Top Bottom