Recent content by EM LAIZO

  1. EM LAIZO

    JamiiForums Tanzania Hivi sisi tuliopata transfer utaratibu unakuaje?

    Kwani wametoa majina mkuu baada ya kulipia kuthibitisha umepata transfer tayari???
  2. EM LAIZO

    JamiiForums Tanzania Hivi sisi tuliopata transfer utaratibu unakuaje?

    Kwani wametoa majina mkuu???????
  3. EM LAIZO

    JamiiForums Tanzania Hivi sisi tuliopata transfer utaratibu unakuaje?

    jina langu lilikua kwenye first batch nikalipia ile 30000 then juz nkaenda chuo husika nikaambiwa chuo hakina taarifa yoyote toka tcu nimeshindwa kuelewa kwamba TCU tatizo ninin alafu kwa nin hajatoa taarifa ya namna ya kuripoti kwa sisi ambao tumepata transfer??
  4. EM LAIZO

    JamiiForums Tanzania Msaada TCU Jamani

    hujielewi
  5. EM LAIZO

    JamiiForums Tanzania msaada tafadhali

    naomba kujuzwa jinsi kujiunga na vifurushi vya internate kwa modem ya TTCL
  6. EM LAIZO

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa UDSM undergraduate

    pia majina yote bradha*
  7. EM LAIZO

    JamiiForums Tanzania Wasomi hodiiiii....!!

    karibu lakni usiwe kama mpigamsuli
  8. EM LAIZO

    JamiiForums Tanzania MSAADA TAFADHARI(wale wa udom)

    asanten sana wakuu kwa kunipa mwanga wa nini nikafanye mungu awabariki..
  9. EM LAIZO

    JamiiForums Tanzania MSAADA TAFADHARI(wale wa udom)

    sikuhitaji dharau za namna hiyo mfano cjui chuo cha kata mwingne kaamua kurekebisha herufi za kwenye uzi kama huna hoja ya kuhusiana na ombi langu si ni bora zaidi ukaacha kuchangia?naomba tuwe waungwana.
  10. EM LAIZO

    JamiiForums Tanzania MSAADA TAFADHARI(wale wa udom)

    jaman naomba anayeifahamu kozi ya bachelor of science in applied geology ya udom tafadhali anijuze ikoje ili nijipange.naomba mwenye msaada anipe.
  11. EM LAIZO

    JamiiForums Tanzania Hellow!

    karibu sana
  12. EM LAIZO

    JamiiForums Tanzania ushauri kuhusu hp laptop tafadhari

    jamani ndugu naomba ushauri kuhusu hp laptop processor dualcore nasikia zinakua proccesor mbili sasa swali langu je kila processor moja wastan iwe na GHZ ngap?
  13. EM LAIZO

    JamiiForums Tanzania Msaada kuzuia namba ya mtu asinipate hewani

    vipi kwa nokia 6280?
  14. EM LAIZO

    JamiiForums Tanzania Hii sms kuhusu TCU ina ukwel wowote........................ ...............????!?

    ....wanazusha 2 hizo habari mbona kwenye website yao hawajaandika..ebhu 2subiri 2one kama ni kweli
  15. EM LAIZO

    JamiiForums Tanzania heylow

    hodi wakuu
Back
Top Bottom