Wote mnaochangia hapa naona mna deal zenu za kuwaingizia kipato ndo maana mnaponda. Kuna kpndi mliwaponda sana accessbank nashangaa watu ndani ya mwaka wanajenga, mi naona kama umeitwa kazn nenda kuhusu malipo ulitakiwa kujua kabla, watu mnataka freelancer awe sawa na yule wa mkataba mrefu. Mi...
Dah mimi naona ni bora huu mjadala mngeupeleka bungeni naona kila m1 anataka kuajiriwa tpb kwa kigezo kuwa ni mali ya umma! Kwa mtazamo wangu ujumbe hauwafikii tpb kwa sisi kujadili hapa.
Training ya loan officers inaanza tar26 mei. Training iliyomalizka tarehe 10 kwa marketers, cashiers na customer service oficers tayar wameitwa kazn kuanzia june. Ni mim mdau wa AccessBank
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.