Recent content by Elton Tonny

  1. Elton Tonny

    Simulizi: Mimi na Mimi

    Ni kutingwa tu na mmb mengi ndugu yangu. But ntajitahidi nionheze kasi kidg
  2. Elton Tonny

    Simulizi - Dosari (a life full of flaws)

    DOSARI A Story by Elton Tonny Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Siri, Tamaa, Hila, Usaliti, Uhalifu, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa R-rated 18+ Enjoy! ★★★★★★★★★★★★★ SEHEMU YA TANO ★★★★★★★★★★★★★ Mazishi yake Lydia yalimalizika vyema baada ya Reuben na familia yake kuufikisha...
  3. Elton Tonny

    Simulizi - Dosari (a life full of flaws)

    Ungekuwa unanisaidia kuandika, ndiyo ungesema nazingua kwa haki
  4. Elton Tonny

    Simulizi: Mimi na Mimi

    Okay sawa. Asante sana 😊
  5. Elton Tonny

    Simulizi - Dosari (a life full of flaws)

    DOSARI A Story by Elton Tonny Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Siri, Tamaa, Hila, Usaliti, Uhalifu, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa R-rated 18+ Enjoy! ★★★★★★★★★★★★★ SEHEMU YA NNE ★★★★★★★★★★★★★ Ikiwa ni kwenye mida hiyo hiyo ya saa tano usiku ndani ya kumbi moja kubwa ya...
  6. Elton Tonny

    Simulizi - Dosari (a life full of flaws)

    DOSARI A Story by Elton Tonny Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Siri, Tamaa, Hila, Usaliti, Uhalifu, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa R-rated 18+ Enjoy! ★★★★★★★★★★★★★ SEHEMU YA TATU ★★★★★★★★★★★★★ Maandalizi ya msiba kumuaga rasmi Lydia yalikamilika, zikiwa zimepita siku tano...
  7. Elton Tonny

    Simulizi - Dosari (a life full of flaws)

    Thank you 😊. Karibu fasihinet.com
  8. Elton Tonny

    Simulizi - Dosari (a life full of flaws)

    Ukuje fasihinet.com episode za mbele utazikuta huko. Hata hii mpya pia. Ukifika huko utapata kusoma kwa njia inayonipa support pia. Karibu 🙏
  9. Elton Tonny

    Simulizi - Dosari (a life full of flaws)

    DOSARI A Story by Elton Tonny Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Siri, Tamaa, Hila, Usaliti, Uhalifu, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa R-rated 18+ Enjoy! ★★★★★★★★★★★★★ SEHEMU YA PILI ★★★★★★★★★★★★★ Tunakuja upande mwingine wa jiji analoishi bwana Reuben, ikiwa ni katikati ya usiku...
  10. Elton Tonny

    Simulizi - Dosari (a life full of flaws)

    DOSARI A Story by Elton Tonny Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Siri, Tamaa, Hila, Usaliti, Uhalifu, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa R-rated 18+ Enjoy! ★★★★★★★★★★★★★ SEHEMU YA KWANZA ★★★★★★★★★★★★★ Ni usiku wa saa tatu ndani ya hospitali moja ya mtaa, ambapo kuna watu wengi hapa...
  11. Elton Tonny

    Simulizi: Mimi na Mimi

    Asante sana ndugu yangu. Umeongea mengi muhimu ambayo hata sikuweza kuelezea. Hali ndiyo iko hivyo. Natumaini JF wataboresha upande huo kweny posting ili nasi watunzi tufaidike inavyostahili kwa kazi ngumu tunayofanya.
  12. Elton Tonny

    Simulizi: Mimi na Mimi

    Yeah, mwanzo sikuwa nimeconsider hilo ndiyo maana. Now itaendelea kwenye ile site, na huku jf labda paboreshwe ili kazi za watunzi zisiwe zinabebwa tu na yeyote ndiyo nitaiendeleza pia. 🙏
  13. Elton Tonny

    Simulizi: Mimi na Mimi

    Hey. Pole nmechelewa kujibu ndg. Nimesitisha mpango wa kutengeneza group kwa kuwa nao unaleta changamoto ile ile. Sasa nmeanza kuiupload story hii kule fasihinet.com hivyo ikifika sehemu mliyofikia mtaweza kuendelea. Niwieni radhi kwa usumbufu, mambo ni mengi
  14. Elton Tonny

    Simulizi: Mimi na Mimi

    Ukishakuja nikuunge unakuta maelezo huko huko huko. Karibu
  15. Elton Tonny

    Simulizi: Mimi na Mimi

    Asante ndugu yangu
Back
Top Bottom