Recent content by Elongo Junior

  1. Elongo Junior

    ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

    Wana Jamii Forum. Habari zenu nyote wapendwa. Samahani naomba mwenye wimbo wa Lovy longomba unaitwa ELIE WANGU anisaidie kuupata maana nimeshahangaika sana bila mafanikio. NAOMBENI MSAADA WANA JAMII
  2. Elongo Junior

    kuna uwezekano wa kupata VIGAE (Tiles) vya rangi ya kijani na njano

    Naomba kuuliza kwa mafundi tiles (VIGAE ) pamoja na waiza bidhaa hii ya VIGAE kama kuna uwezekano wa kupata VIGAE vya rangi ya kijani na njano. Samahani naomba majibu kwa wenye kujua
  3. Elongo Junior

    Naomba msaada wa makadirio ya ujenzi wa jamvi la mita 31 kwa 26

    Mafundi na wataalamu wote wa ujenzi mliomo humu JF, Naombeni MSAADA juu ya MAKADIRIO ya ujenzi wa eneo lenye urefu wa mita 31na upana wa mita 26. Upande wa Saruji, mchanga na kokoto kwa ajili ya JAMVI
  4. Elongo Junior

    Mnawezaje kwenda zaidi ya dk 60 bila kuachia bao la kwanza?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  5. Elongo Junior

    Mnawezaje kwenda zaidi ya dk 60 bila kuachia bao la kwanza?

    [emoji23][emoji23] labda yule mnyama wa majini anaitwa fina ndo anaweza piga 12. Usitudanganye
  6. Elongo Junior

    Tatizo la kupata choo kigumu au kukosa choo kwa muda mrefu (Constipation). Fahamu chanzo na tiba yake

    Nashukuru nimeshaitumia hiyo Castro oil. Lakini maumivi wakati wa ku push mzigo ilikua sio mchezo [emoji51][emoji51]🥱[emoji3062][emoji3062] maana ni jasho
  7. Elongo Junior

    Tatizo la kupata choo kigumu au kukosa choo kwa muda mrefu (Constipation). Fahamu chanzo na tiba yake

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapana niamini tu [emoji28] kwamba hali ni maumivi.
  8. Elongo Junior

    Nimepata uvimbe sehemu ya haja kubwa. Napata maumivu makali nikitembea

    Uko sahihi pale Riverside kuna hospital ya wa Korea inaitwa Sun, wanatibu hilo tatizo
  9. Elongo Junior

    Tatizo la kupata choo kigumu au kukosa choo kwa muda mrefu (Constipation). Fahamu chanzo na tiba yake

    Nashukuru sana kwa ushauri wenu. Nimeufanyia kazi. Nimetumia Castro oil, lakini shughuri yake wakati wa kutoa mzigo ilikua sio mchezo, maumivi ni makali mno, na mpaka sasa eneo kutolea haja kubwa ni kama limevimba kutokeza nje. NAWASHUKURU WANAJAMII WOTE KWA USHAURI WENU.
  10. Elongo Junior

    Tatizo la kupata choo kigumu au kukosa choo kwa muda mrefu (Constipation). Fahamu chanzo na tiba yake

    Nimetumia hiyo Castro oil. Hapa nipo hoi joint za magoti zimeishiwa nguvu na nimechanika sehemu ya mlango wa haja kubwa. ASANTENI WANAJAMII WOTE KWA USHAURI WENU.
  11. Elongo Junior

    Tatizo la kupata choo kigumu au kukosa choo kwa muda mrefu (Constipation). Fahamu chanzo na tiba yake

    Ndio nahisi haja imebana. Na nikienda kujisaidia hakitoki pia kidole kina gusa na kipo katika hali ya ugumu
Back
Top Bottom