Tatizo la kupata choo kigumu au kukosa choo kwa muda mrefu (Constipation). Fahamu chanzo na tiba yake

Nashukuru mkuu, ushauri ulio nipa naufanyia kazi. Asante
Naomba kukuuliza maswali kadhaa.

Je unahisi haja imebana ila ukienda chooni ndo hakitoki kwa ugumu..?

Au hujisikii kabisa kama haja imebana ila unapata wasiwasi kwamba siku kadhaa kwa nini hujapata choo ?

Na je ulipoingiza kidole ulihisi umekamata kinyesi kigumu au hukuhisi kama kuna kinyesi umekamata au umekigusa kwa kidole ?
 
Kesho tafuta juice ya ukwaju kunywa, kula mapapai ya kutosha, Kula nazi na maji yake au madafu na maji yake. Fanya hivi siku tatu mfululizo then ulete mrejesho.

Baada ya hapo matunda yawe lazima kwenye mlo.
Juice ya ukwaju hawezi kunywa siku mbili. Siku ya kwanza tu ksbb ya uzoefu ataomba pooo. Hiyo tu juice ya ukwaju itamaliza tatizo. Sio juice zile za vibandandani wanaita za ukawaju. Juice yenyewe itengeneze hivi nzito wastani
 
Kuna vitu viko kama karanga maduka ya dawa asili havikosi vinaitwa habatmuluki nenda kaulizie , hio chukua ubale wake, tafuna thn baada ya dakika 2 taenda kuharisha,
NB HAKIKISHA CHOONI KUNA MAJI YA KUTOSHA PIA KUWE NA NAFASI USIFANYE HII UKIWA KWENYE NYUMBA YA KUPANGA COZ UNAWEZA KUENDA CHOONI MARA 5
 
Juice ya ukwaju hawezi kunywa siku mbili. Siku ya kwanza tu ksbb ya uzoefu ataomba pooo. Hiyo tu juice ya ukwaju itamaliza tatizo. Sio juice zile za vibandandani wanaita za ukawaju. Juice yenyewe itengeneze hivi nzito wastani
Yes sure thing, sisi huwa tunaiita bomu. Baada ya hapo aendelee kuinywa kama mazoea ataachana kabisa na hii habari.
 
Naomba kukuuliza maswali kadhaa.

Je unahisi haja imebana ila ukienda chooni ndo hakitoki kwa ugumu..?

Au hujisikii kabisa kama haja imebana ila unapata wasiwasi kwamba siku kadhaa kwa nini hujapata choo ?

Na je ulipoingiza kidole ulihisi umekamata kinyesi kigumu au hukuhisi kama kuna kinyesi umekamata au umekigusa kwa kidole ?
Ndio nahisi haja imebana. Na nikienda kujisaidia hakitoki pia kidole kina gusa na kipo katika hali ya ugumu
 
Ndio nahisi haja imebana. Na nikienda kujisaidia hakitoki pia kidole kina gusa na kipo katika hali ya ugumu
Okay.

Sasa hata ukinywa ukwaju hiko kinyesi kimeshakuwa digested tayari hivyo hakiwezi kulainika kwa hali yoyote ile.

Ukinywa ukwaju,au ukatumia dawa ulizoambiwa zitasaidia kwa kinyesi ambacho bado kipo katika mmeng'enyo kitasagika vizuri.

Wewe hauna tatizo ila shida ni kuwa una choo kigumu ambacho pengine katika utokaji kitakuumiza.

Hata utumie nini bado choo hiko kitabaki kuwa kigumu,kikishatoka hiko ahapo ndio utaona ukwaju au dawa ulizotumia zitaanza kufanya kazi.

Ila kwa sasa hiko choo kimeziba njia ya haja kubwa hata kuharisha pengine isiwezekane.

Kwa ushauri wangu kama njia zingine zimefeli jaribu kuchukua kipande cha sabuni ya aina yoyote ile,kichonge kipande hiko kiwe kirefu mithili ya kidole na upana ni ule ambao hautokuumiza ukiingiza,kisha kiingize katika haja kubwa kikiguza kinyesi sio mbaya,baada ya hapo kiwache kipande hiko cha sabuni mpaka utakapojisikia kwenda chooni.

Ukijisikia kwenda chooni nenda usiogope,jikamue kwa umakini hakikisha unasaidia kinyesi kutoka usiiache kazi ya kutoa kinyesi iwe ya tundu,lisaidie tundu kutoa kinyesi hata kwa kukishika na kukivutia nje.

Asante
 
Ndugu zangu mwenye kujua namna au dawa ya kukitoa kinyesi. Sitanii hii hali imenitokea leo ni siku ya pili kila nikienda kujisaidia (kunya) nashindwa nimetumia kidole lakini imeshindkana, mpaka damu inatoka. Wataalamu NAOMBA nisaidieni NATESEKA
Ndo maana nasikia harufu ya mavi hapa!
Hebu tafuta majani ya mlonge mabichi saga kwa blender kisha kunywa glass
 
Nunua Castro oil unywe dakika tuuu umeanda toi na kulibwaga utahara mpaka uombe poo
Nimetumia hiyo Castro oil. Hapa nipo hoi joint za magoti zimeishiwa nguvu na nimechanika sehemu ya mlango wa haja kubwa. ASANTENI WANAJAMII WOTE KWA USHAURI WENU.
 
Mkuu kwanza pole sana kwa tatizo hilo. Ila ukweli ni kwamba watu wengi sana wanatatizo hilo ila wanaona aibu kusema wazi kama mimi na wewe tulivyothubutu.
Nakushauri kanunue "Castor Oil" duka la dawa na kwa hali uliyonayo, piga hata vijiko vitatu vya chakula. Baadae kaa tulia home. Itakuchukua robo saa au nusu saa. Tumbo litavuruga na choo kilichokwama kitalainika ili kipite vizuri.
Ukifanikiwa kupata choo, nunua Potassium Pamanganize duka la dawa then utakua utakua unachanganya na maji kwenye beseni the unakalia hata kwa dakia 20 asubuhi na jioni ili kuponesha vidonda kwenye njia ya haja kubwa.
Pia ukipata choo, kumbuka kutumia hiyo Castor oil kijiko kimoja unapolala usiku ili asubuhi kabla hujaanza mishe zako unapata choo chako vizuri then unaingia mtaani.
Mimi pia ni Muhanga wa hiyo kitu lakini haya mafuta yamenisaidia pakubwa.
Ila Maji mengi kuyanywa usisahau. Angalau lita mbili kwa siku.
Nashukuru sana kwa ushauri wenu. Nimeufanyia kazi. Nimetumia Castro oil, lakini shughuri yake wakati wa kutoa mzigo ilikua sio mchezo, maumivi ni makali mno, na mpaka sasa eneo kutolea haja kubwa ni kama limevimba kutokeza nje. NAWASHUKURU WANAJAMII WOTE KWA USHAURI WENU.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom