Naona hoja yako imekaa kisiasa sana si ya kitaalam kama unavyo i praise.Umetumia summary ya report ya professor mruma kuipinga report yake na Baadhi ya maoni ya watu hii ni siasa, Mimi nilifikir ungefanya utafiti ukaja na abcdef......z ukaja na detail ukatoa fact zen uka quote report ya...
Oh thanks God[emoji120] finally I can get what I was waiting 4so long time [emoji144] unless it not ur wish , I believe no any effort I can make it if it's not ur will my God ,Because a good wife[emoji126] came from u.
I believe I will get what I deceive, Futher if this is the one...
Nimefatilia sana uzi wako na comment zako nimegundua kuwa
Unataka watu wote wawe na uelekeo wako
Umejiaminisha kuwa ulichoandika Ni bora sana.
Kuna baadhi ya mambo umekalili kama issue Za cash flow
Unapinga professor kabudi kuongoza majadiliano huku ukiwa hujui kiongozi wa Barrick ana...
Aiseee hongera sana Dada yangu .Ninatamani kujifunza mengi sana kutoka kwako kuhus kilimo nimeona aisee umetisha sana.Naomba ruhusa yako niku pm
Sent using Jamii Forums mobile app
Habar wana Jf ok nilikuwa shamban hko hata network haipo vizur ,ok nimeona maoni yenu na maswali yenu pia yote ni mazur na yanalengo moja la kujikwamua kutoka point moja hadi nyingine ,Kiukwel changamoto ni zipo kwenye kilimo lakini changamoto hizo haziwez nifanya(kunifanya) nikate tamaa never...
Marafiki zangu wana jf, ndugu zangu watanzania nitatoa update zote kwa hatua ntakayo ifikia ila pale unapofikiria ningeanza na hekar moja Mimi nafikiri kuongeza hekar ya 4. Narudia tena kusema mtaji ninao na soko kwa maeneo niliyopo linaenda kuwa zuri zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh cc wabongo ni shida kwel nan kakwambia cjalima haaa, ok sio kesi sana kila mtu na njia yake mimi kilimo ndo nimechagua
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.