Recent content by EllySkyWilly

 1. E

  Tabia zipi huzipendi kwa ndugu yako, mpenzi wako, rafiki yako au hata mzazi wako?

  πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 2. E

  Barua ya haraka kwa Tundu Lissu

  Sasa sikia hii, hao wazungu unaowazungumzia kawaite waje hata saivi, hawataweza kufanya lolote. Kama tu wabunge wenu wamewasaliti basi hata wazungu wanaenda kuwasaliti. Siku zenu zinahesabika. Katika Jina la Yesu kuanzia leo nawafuta kwenye uwanja wa siasa wote ambao hamuitakii mema serikali ya...
 3. E

  Weka siasa pembeni, tafakari "credibility" ya Mamlaka za Serikali katika sakata la CHADEMA

  CHADEMA wa kiume mbona mnakwenda kinyume na mkutano wa wawanawake uliofanyika Beijing. Hamwoni kama mna wa undermine wanawake badala ya kuwa empower.
 4. E

  Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

  Achana na huyo bwana, CHADEMA wa kiume walitaka waende kinyume na mkutano uliofanyika Beijing.
 5. E

  Tanzania imeteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hati za Utambulisho ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, New York, kwa mwaka 2020/2021

  πŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 6. E

  Serikali msiwafutie Watoto matokeo, toeni matokeo yao haraka. Hawana hatia. Tatizo ni Mfumo

  mkuu katika jamii yoyote tunayoishi kuna sheria. baraza la mitihani lina sheria na ndio maana likaitwa baraza la mitihani. Kazi ya baraza ni kusimamia shughuli nzima ya mitihani. Kwa anayeiba mtihani adhabu yake ndio hiyo kufutiwa mtihani. ndio adhabu yake. Tusiingilie kazi za baraza. Mtoa maada...
 7. E

  Serikali msiwafutie Watoto matokeo, toeni matokeo yao haraka. Hawana hatia. Tatizo ni Mfumo

  hawa jamaa ni wazi sasa wameanza kuingia majukumu ya serikali. Naiomba sana serikali izidi kukaza zaidi
 8. E

  Dar nzima ina wauguzi 1,500 tu kwa wakazi milioni 6!

  we jamaa unajiwazia na kutamka tu utadhani serikali ni familia yako ambayo unajiamlia mambo bila kufanya economic analysis. Kila jambo hufanywa kwa kufuata utaratibu. Swala la kuajiri linahusisha factors mbalimbali factors za kiuchumi zikiwekwa mbele zaidi.
 9. E

  Serikali msiwafutie Watoto matokeo, toeni matokeo yao haraka. Hawana hatia. Tatizo ni Mfumo

  Sasa huko ni kwingine hapa ni Tanzania. Kama shule yako iliiba mtihani unategemea tukuachie achie tu. Lazima uasibiwe kwa mjibu wa sheria za Baraza la mitihani. Baraza lina sheria zake ndio hizo zinafanya kazi. Shule yako ikiiba mtihani inafutiwa matokeo hiyo ndo adhabu. Labda ungeomba waongeze...
Top Bottom