duh! jamani unaweza ukaona watu wanapita barabarani na ving'ora na misafara watu wanasimama shuhuli zao na safari zao kuwapisha na watu wanalala hoi kuandaa ujio wao, wanapigiwa saluti kila dakika LAKINI MH!! Nashindwa hata nitumie tusi gani la kiswahili ambalo kwenye kamusi hata nikikamatwa...
SAWA MWITA BAHATI MBAYA WAPIGA KURA WA TANZANIA HATUJAKUBALI!!!.....Hu mwaka mmewajengea watz historia wasiopanda malori wamepanda...ambao hakusafiri pasaka na Idd nao walipata fursa ya kusafiri...sasa leo muwatoroke kuwarudisha kesho muone cha moto
watembelee kijiweni baada ya kazi watakueleza kuwa wakikodiwa na ccm wanatangaza dau kubwa warudishe zile elfu 10000 walizotumiaga kubadilisha namba za pikipiki. ...hapa mabadiliko tu!!!!
Hivi kutolewa madarakani huwa kunauma sana eeh?...jamani form four wanatarajia kufanya mtihani november, hicho kipindi si wangemdhamini hata mwalimu mmoja wa history afundishe hata factors for the rise and fall of idd amini halafu mwakijembe awe kwa hapo pembeni kwa wale wasiomjua idd amini awe...
kwa unyenyekevu napenda niwajulishe kuwa hakuna ccm moshi Bali watu walichangamkia fursa ya kuwaona wasanii wetu nafhibitisha kwa kusema ccm yateseka mbele ya mama Regina lowasa aliyewakusanya wanawake wa Kilimanjaro Uhuru park. watu walianza kupigiana simu kuna kwenye fiesta baada ya Lusomwa...
hizi akili kimavimavi zitaisha lin?? watu wanapenda kujifanya maafsa usalama, wachunguzi, wafuatiliaji!!! akili za rojo hizi....huyo MTU majibu yametolewa kuwa alivunjika mbavu name na kuvuja damu kwa ndani akashindwa kupumua..hukusikia???? Dk wa mihogo so ajabu haya anatishwa na anaoshare nao...
Dr love pimbi silaa mh! harakati zake bwana zinaniacha hoi- yule na yeye ni kama mike tu mwenye manano anamtumia!!! akate chululu yake aachane na yule shosti arudi upadr
moshi mjini shauku ni kubwa!!!!! mpaka sasa ajenda ni Kiwanja gani kitatosha tukaonyeshe msimamo kwa MH. Edward Lowasa A.K.A BABA WA TAIFA MLEZI hutaki nakuwekea bili ya malimao gengeni miaka mitano ya utawala wake.
Mbumbumbu na mimi nishiriki japo kwa kuuliza ka swali mbogamboga kangu haka....hivi after COLONIAL GOVENMENTS IN AFRICA eg Tanganyika, Kenya,South Afica, what governments ar now exist in these countries?.and who was Nyerere, kenyatta, Nelson?...Au ka swali kangu hakana nafasi hapa kwa kuwa enzi...
Mh!!!! kwani wanagombea wizi au urais??? maana mimi nimejiandikisha kupiga kura ya madiwani,wabunge na rais!..na nakupa siri yangu tu ukipenda ivujishe..NAMPIGIA LOWASA KURA YA URAIS ndo hayo...
usafi wake nini?? mwaka huu mtatapika hayo maslahi kivuli mmayopata fisiem!..hata awe msafi wa marimbani na madhabauni what we need is ccm out!...na kwa sasa nipo katika hatua za kati za kumalizia mazungumzo na mwanamke aliyedhalilishwa na kukatishwa masomo na kupoteza ajira yake na huyo msafi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.