Rais Ni Lowassa, Waziri Mkuu Mwanamke

Rais Ni Lowassa, Waziri Mkuu Mwanamke

wacha ndoto za mchana. ukawa na huyo mgombea wenu ikulu mtaiona na kuisikia kwa mbaliiii. sijui kwa nini hamjajaliwa uwezo wa kuelewa. watanzania wana akili ikulu sio pango la wezi.

Mh!!!! kwani wanagombea wizi au urais??? maana mimi nimejiandikisha kupiga kura ya madiwani,wabunge na rais!..na nakupa siri yangu tu ukipenda ivujishe..NAMPIGIA LOWASA KURA YA URAIS ndo hayo...
 
Aisee shida ni nini?

Na huyo wa CUF aliyetajwa hapo juu?
Hivi inaingia akilini kuwa CUF itapata wabunge wengi kuliko CCM or CDM hadi awekwe hapo juu??


Hoja yetu iliegemea kwa Tibaijuka na majibu nimekupa kwa mtazamo wa hoja yako ya awali hayo ya CUF yanakujaje tena?

Kima kweli wewe!
 
Hoja yetu iliegemea kwa Tibaijuka na majibu nimekupa kwa mtazamo wa hoja yako ya awali hayo ya CUF yanakujaje tena?

Kima kweli wewe!

Sawa mimi kima.
Hiyo ya Tiba ilibeba hoja nzima ya utani wa mtoa mada wa kutokua serious Na hoja yake ya pm kuwa Tiba or sakaya .Kwani kinadharia wala kiuhalisia haiwezekani.
 
Kwa hesabu zetu, CCM watapata wabunge wengi kuliko chama kingine chochote lakini itaanguka kwa Ktk urais kwa nguvu ya Ukawa.. So PM atatoka CCM, lakin si tibaijuka.. Atakuwa ni katika wale ambao wanapambana usiku kumuhujumu JPM na CCM yake wakiwa ndani ya CCM. Tusubiri kwa kuwa haya ni mambo ya kikatiba na yanaweza badilishwa na bunge..Lolote linaweza kutokea.
 
Back
Top Bottom