Recent content by Ellymod

  1. E

    JamiiForums Tanzania Ninafungua Barbershop: Je Vinyozi Walipwe Mishahara au Wakabidhi Hesabu?

    Ushauri wangu kama mtu niliyechangia mageuzi ya uwepo wa Barbershop Bora Kwa Dar(Kisarano iliyokuwa Tabata shule) baada ya kuangalia mapungufu ya zilizokuwa saloon tajwa wakati huo ya Bitebo na nyingine maeneo ya Masaki na Sinza. Kwanza weka Hesabu Kwa kila kinyozi unayemkabidhi kiti. Wape...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kamera za SGR kutofanya kazi, TRC wawaondoa wasiwasi wananchi, wasema zinafanya kazi!

    Kuandika zinafanya Kazi ilihali kuna malalamiko ya wazi kuwa haifanyi Kazi na tukio limeshindwa kufanyiwa kazi Kwa sababu ya ukosefu wa kamera ni kukimbia wajibu wenu Ni vema mtuambie mmeshughulikia vipi tukio hilo la abiria wenu badala ya kuja na taarifa rahisi kiasi hiki
  3. E

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na mpenzi, mume au mke, inakuchukua muda gani kumsahau?

    Mimi Mpaka Leo sijamsahau na tumeachana 2023 Septemba 5
  4. E

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa TPDC kuhusu Mafuta: Maswali Bado

    Leo Serikali Kupitia TPDC imeita waandishi na wahariri wa Habari mbalimbali na kutaka kufafanua juu yaadai yaliyotolewa na ACT Wazalendo kuhusiania na kashfa ya uagizaji Mafuta. Nimesikiliza hotuba Yao na kurejea maswali ya ACT kiukweli bado ufafanuzi inahitajika Nakuwekea maswali ya ACT hapa...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Waandishi wa Habari (JAB) ina matamko mengi kuliko watu iliowahudumia hivyo waache mzaha

    Katika siku za hivi karibuni Bodi ya Ithibati kwa waandishi wa Habari Nchini(JAB),imekuwa ikijitokeza mara kwa mara kuonya waandishi wasiosajiliwa na Bodi hiyo wasijishughulishe au kufanya kazi yoyote ya kihabari mpaka watakapothibitishwa. Hili linaweza kuwa Jambo jema lenye kulinda hadhi ya...
Back
Top Bottom