Recent content by elly56

  1. elly56

    Mtandao gani wa simu uko poa???

    HALOTEL ndo babalao banaa net ipo fasta ucpime inategemea na mahali ulipo ndugu
  2. elly56

    Msaada: Ubora wa simu za Startimes

    Ni nzuri tu kwa matumizi aisee....,hazizingui kama ving'amuzi vyao
  3. elly56

    Facebook ya bure

    Jana nimechat nao wanasema fb ya bure bado ipo
  4. elly56

    Ubishi mtaani kuhusu tecno mobile

    Tecno nevaaaa..., bola Nitumie HUAWEI
  5. elly56

    Facebook ya bure

    Shenzi sana hawa watu
  6. elly56

    Facebook ya bure

    Haaa kumbe? Sasa hilo salio linakuwa linaisha taratibu au inakuwaje hapo?
  7. elly56

    Facebook ya bure

    Hivi tigo wameifunga fb ya bure au ni kwangu tu..,eti wadau?
  8. elly56

    GB 30 kwa 100/=

    Tumia tubemate ipo faster ucpime
  9. elly56

    Furahia simu yako hapa

    Solo launcher z ze best
  10. elly56

    Msaada wa haraka huawei y 530

    Huawei kuna code zake ukipewa unafungua cm unatumia line zoote...,kuflash sio powa unauwa cm
  11. elly56

    Furahia simu yako hapa

    Hapo me najua huwa naweka solo always labda niamue ku change tena me mwenyewe
Back
Top Bottom