Kidude kama hiki cha kuchomekea Card za channels. Mfano, continental au star times...unachomeka moja kwa moja kwenye tv nawezv kipata wapi wapendwa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
22,433
2,000
Hio card ni tech ya kizamani sana unatumia kuchomeka vitu mbalimbali kama memory card, adapter za ethernet etc nina mashaka sana kama unaweza tumia kuchomeka card za Ving'amuzi. Nani amekupa Taarifa hio?

Unazipata kwenye makorokoro used Kariakoo mtaa wa uhuru na msimbazi kama unakwenda uhuru na congo.
 
Okwanyo58

JF-Expert Member
May 3, 2020
1,323
2,000
Mkuu hiyo ni adapter ya memory card labda ulikuwa una maanisha kuichomeka kwenye kinga'muzi ili ucheck movie! Pale kwenye sehemu ya adapter Lakini sio kwa Card hizi za visimbusi 😁
 
elly56

Member
Apr 20, 2012
41
95
Hio card ni tech ya kizamani sana unatumia kuchomeka vitu mbalimbali kama memory card, adapter za ethernet etc nina mashaka sana kama unaweza tumia kuchomeka card za Ving'amuzi. Nani amekupa Taarifa hio?

Unazipata kwenye makorokoro used Kariakoo mtaa wa uhuru na msimbazi kama unakwenda uhuru na congo.
Poa poa
 
h120

JF-Expert Member
Jan 10, 2012
2,415
2,000
Zinaitwa CAM card.
Hizi card kwa bongo hamna kampuni inazitoa au kuuza, kuna Tv zina support hizi.

Mfano mzuri ni ving'amuzi tunavyotumia, badala ya kununua king'amuzi cha startimes unanunua card yao unachomeka kwenye tv unapata access ya channels zao, hivyo hivyo kwa ving'amuzi vingine kwa hiyo kampuni zote zinakua na standard moja kama tu tunavyotumia laini za mitandao tofauti kwenye simu moja.

Tv pia zinakuwa configured kiwandani moja kwa moja ziwe na slot pamoja na mfumo wa kutambua hizo CAM card za standard husika.

Startimes wana kitu kama hicho lakini zao nadhani wamezifunga zikubali channel zao tu, pia kwenye tv za startimes kuna sehemu ya imewekwa laini size ya laini za kawaida kama za kwenye simu.

Sijui kama kuna mtu amewahi kujaribu kukata zile card mfano continential na kujaribu kwenye tv ya startimes japo wanaweza ifungia ikakubali aina moja tu ya card ambazo ni za kwao.
 
Giancarlo

JF-Expert Member
May 15, 2018
491
1,000

Cam card weng hawazijui,umeeleza kiusahihi kabsa..nadhan smart tv zote zina sehemu ya kuweka cma card sema ishu ni kuzipata hzo cam card ili uweze kuwatch tv content for free
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom