Recent content by elly1978

  1. E

    JamiiForums Tanzania Credit suisse wakiri kuikopesha Tanzania Dola milioni 500 (Sawa na trioni 1.2 za kitanzania)

    Huu utakuwa uwongo mtakatifu. Kwa akili ya kawaida kabisa hauwezi ukakopa 500mn ukarejesha 900mn ndani ya miaka 5. Ina maana riba ni asilimia karibu 20 na hakuna marejesho ya mkopo yaani principal mpaka mwaka wa mwisho? Uwongo wa kijinga. Hizi ni kama mtu anachuki hivi na serikali ndiyo anaweza...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Silinde: Mapato ya TRA yameshuka hadi bilioni 700 kwa mwezi kutoka trilioni 1.5

    Hii ni crap kabisa. Huyu hana data. Makusanyo ni maradufu na ushee anachosema... hizi blah blah za wapinzani ni shida kweli
  3. E

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli katika gazeti la Financial Times!

    U Ikiangalia jinsi hawa Acacia na makampuni mengine yalivyotuibia hauwezi kushangazwa na kilichoandikwa. Huyu mwandishi ameandika alichotumwa. Na waliomtuma ni hao hao waliotuibia. Hapa Mhe Rais akaze kamba zaidi mpaka tupate fair share yetu.
  4. E

    JamiiForums Tanzania Miswada mitatu(3) ya kujadili masuala ya madini na maliasili yafikishwa Bungeni kwa hati ya dharura

    Ninaunga mkono 100 kwa 100... hii miswada kwanza ni mifupi na inaeleweka kabisa. Kwa mzalendo yeyote yule hawezi kupinga hichi kilicholetwa. Kudos Mhe Rais... tupo nyuma yako.
  5. E

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU yawafikisha mahakamani Harbinder Sethi na James Rugemalira kwa kosa la Uhujumu uchumi

    Hii Daah, naona kama naota vile, Eee Mungu uzidi kumlinda Rais wetu aendelee hivi hivi. Kwanamna hii, lazima nchi itasonga mbele kwa kasi kubwa Zaidi.
  6. E

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri, Mkutano wa CHADEMA na waandishi wa Habari

    natumaini watahimiza watu kufanya kazi.... hamna namna nyingine
  7. E

    JamiiForums Tanzania BAJETI: Yaliyojiri, Uwasilishaji wa mapendekezo kuhusu makadirio ya mapato na matumizi 2017/18

    Hapana madini, nina njaa sana tu, lakini najaribu kuwa mkweli na kuangalia vizazi wajao, nina watoto kadhaa na ninategemea wajukuu kadhaa wa kadhaa. lazima niangalie maslahi yao. hii budget ni mwokozi kwao
  8. E

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe aiponda bajeti, asema Tanzania itaanguka vibaya sana kiuchumi haijawahi tokea

    Simply put, Mh Zitto yupo very very wrong. Hauwezi kusema 1% ya clearing charge kwenye madini ni "nothing". Upunguzaji wa production cess kutoka 5% mpaka 3 na 2% ni nothing? pia, hizi kodi zilizopunguzwa kwa makampuni ya kuunganisha mitambo/magari nazo ni nothing? Final withholding tax ya 5%...
  9. E

    JamiiForums Tanzania BAJETI: Yaliyojiri, Uwasilishaji wa mapendekezo kuhusu makadirio ya mapato na matumizi 2017/18

    Tafuta muda usome hii budget vizuri, its the best budget in years
  10. E

    JamiiForums Tanzania Sherehe za Miaka 50 ya Muungano

    Napenda kutoa wazo kwamba, kwakuwa tumeishi kwa udugu, umoja na amani, kwa miaka hii 50 na kwakuwa tumekuwa na muungano wa kipekee duniani, wenye mafanikio makubwa sana na kwakuwa sherehe hizi muhimu zimeangukia Jumamosi, na kwakuwa watanzania kuanzia Pemba mpaka Mtwara, Moshi, Bukoba na sehemu...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi, Tarehe 10 Aprili, 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    Akili za kuambiwa, wameshindwa kuchanganya na zao?
  12. E

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi, Tarehe 10 Aprili, 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    Kama umeenda shule hata kidogo utajua kwamba maswali ya kujielezea hayawezi kufana kwa watahiniwa wote pasi kuigiziliana. Sasa ukiona mawazo ya kamati 12 yanasema kitu kimoja uwe na mashaka, kama unafikiria lakinj; ni sawa kabisa kwa walio wachache kuwaza tofauti na kujenga hoja ile ile kwa...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Picha ya Bendera ya Tanganyika kwa ambao hatujawahi kuiona

    Zinapatikana wapi?
  14. E

    JamiiForums Tanzania Kutoka Kibanda Maiti - Zanzibar

    Soo hi ni Uamsho part 2 au?
  15. E

    JamiiForums Tanzania Zanzibar kesho itapata uhuru wake

    Waende hata leo, tangu lini akili ndogo ikatawala kubwa?
Back
Top Bottom