Recent content by elly stambuli

  1. E

    Amsterdam and partners LLP wamlima barua Rais Magufuli na Jaji Mkuu, wabainisha njama zote zinazosukwa

    Duh barua ndefu sana, hawajui kufupisha maneno wanasheria hao?
  2. E

    GE2020 Zitto: Mgombea atakuwa mmoja kati ya CHADEMA na ACT Wazalendo

    Kuitoa CCM ni ngumu, hakuna tume huru
  3. E

    TFF yatuma barua ya mashitaka CAF dhidi ya Kocha wa Yanga sc

    Waambie ukweli CCM uone cha moto
  4. E

    Ujio wa Tundu Lissu na matokeo ya ajabu

    Ulidhani mchezo, kushinda lazima uwe na misuli Pascal
  5. E

    Jeshi letu na historia yetu

    Elimu mkubwa tunapata hapa
  6. E

    GE2020 Mtia nia Jimbo la Gairo adaiwa kugawa mahindi magunia 9 shuleni, DC ampigia debe kanisani

    Inafaa TAKUKURU wakaingilia hili ili tupate ukweli maana kwa maoni yangu kuna wingu fulani la rushwa kama kweli hili linalosemwa
  7. E

    GE2020 Mtia nia Jimbo la Gairo adaiwa kugawa mahindi magunia 9 shuleni, DC ampigia debe kanisani

    Huyo Dc waulizwe watu waliokuwa wakifanya naye kazi NSSF. Ana manenomaneno sana. Aliwahi pia kusali katika kanisa la ATN kwa yule Mhindi, yalitokea mambomambo. Ni vema kutoingilia michakato, hata Mhe. rais leo amesisitiza.
Back
Top Bottom