Recent content by elly devs

  1. elly devs

    Msaada: Usajili wa project binafsi (idea)

    project inahusiana na mambo ya IT jamani ninachotaka kujua nia atuagani nitumie kupata hatimiliki
  2. elly devs

    Msaada: Usajili wa project binafsi (idea)

    Habari zenu wakuu nimekwama kijana mwenzenu nauliza kama kuna mwenye ufahamu wa usajili wa project na taratibu zake niende wapi. Maana naogopa sio kila mtu wa kumwambia idea zetu. so kwa labda mwenye ufahamu kidogo aniambie natakiwa kupitia wapi na wapi
  3. elly devs

    Msaada:kupata internet settings blackberry

    HABARI KAKA KWA NJIA NYEPES kutatua shda yako nenda voda shop ama tigo shop iliyo karib yako
  4. elly devs

    Best 20 Smart Phones

    oyyyyoooo yoyota anaejua chochote kuhusiana na hii program inaitwa INTERNET SPEED BOSTER
  5. elly devs

    Habari zenu wakubwa nashida ya kupata adobe photo shop

    KIUKWELI NINA SHIDA YA iyo prog.. bt cjui ntaipataje kwa urahisi na atakae nsaidia bas na mm ntampa sayansi yang kuhusiana na net na hakika wote tutanufaika:madgrin::becky::becky::becky:
Back
Top Bottom