Hata kama dawa ingekuwa ni kujifukiza lkn inatakiwa uwekwe mfumo mzuri ambao utarahisisha kupima watu wengi kwa mda mfupi kwan uwe kupambana na adui bila kugundua yuko mahali gani.
Pole sana kaka izi ni changamoto za kazi. .kuna wateja wanadhani kazi ya graphics design ni rahis kumbe zinaitaj utulize akili sana na pia kutumia muda, na mtu akiona bei anadhani unamuibia. ..piga kazi achanana na awa washamba wasiojielewa.
Kazi nzuri.
Hii genetical zaidi. ..waulize bibi zake wa pande mbili kama kwel wazazi wake waliwahi au walichelewa kuongea baada ya hapo ndo utajua tatizo liko waapi
Chunusi husababishwa na mafuta yaliyo kwenye ngozi, kikubwa cha kufanya usiangaike na dawa za kuondoa chunusi za aina yoyote ile make unaweza jikuta unaongeza tatizo zaidi. Solution ni kwamba unapoenda kuoga paka sabuni usoni ambayo sio medicated kisha subiri mpaka ikauke baada ya hapo osha kwa...
Hawa wauzaji wa hizo dawa pia uwa wanapatkana kwenye mabasi ya abiria. .kikubwa wanachofanya ni kukutajia dalili ambazo ni familiar kwa watu wengi kisha wanakutisha kutokana na izo dalili ukishaingia mkenge unanunua na auponi
Nb. Fuata ushaur wa daktari kabla yakuchukua hatua ya kutumia dawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.