Wakati huu ambapo vyuo na shule zimefungwa kwa muda kama sehemu ya tahadhari dhidi ya CORONA kuna Halmashauri zimetoa agizo walimu wote wawe wanaenda kusaini kazini kila siku asubuhi na kurudi nyumbani ambaye hatafanya hivyo atakuwa mtoro kazini ..!
Clients wa mwalimu ni wanafunzi na sababu ya...
Niliandika makala hii 2017 mnasemaje kuelekea uchaguzi 2020
POLENI SANA VIJANA, MNAKUWA MAJESHI YA MINYUKANO YA KISIASA MWISHO INAKUWA AIBU KWENU.
Poleni sana vijana wa ACT - WAZALENDO mliomtukana matusi yote Mh Mbowe kisa mapenzi makubwa mliyonayo kwa Mh Zitto pengine hamkujua wanasiasa...
KUMPINGA RAIS JPM NI KUWAKUMBUSHA WATANZANIA MATESO WALIYOPITIA, VITA DHIDI YA UTAWALA WA MAGUFULI NI VITA DHIDI YA MATUMAINI MAPYA YA WATANZANIA.
1. Mtanzania yupi yupo tayari kurejea Tanzania ya watu wachache maalum ambao ni daraja la juu kabisa la mwanadamu ambao Sheria haziwahusu kuua...
Barua yangu kwa mh Rais John Pombe Magufuli
ELIZAYO PASCAL LAMU
S. L. P 100,
KASULU - KIGOMA
Mobile : +2555766033331
E-mail : lamuelizayo@gmail.com
Kwa
Mh Rais wa Tanzania,
S.L.P 11400,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA.
YAH: MAPENDEKEZO NA USHAURI WANGU KWA SERIKALI TUKUFU YA AWAMU YA TANO
Mh Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.