Recent content by Elizabeth Frank

  1. E

    JamiiForums Tanzania Kutendwa kunanitesa

    Mmmh bac ukweli utabaki tu kuwa ni moyo Wa MTU na roho yake mbona mm ameniaribia vingi na amenifanya nisipende hyo ni moyo Wa MTU tu
  2. E

    JamiiForums Tanzania Kutendwa kunanitesa

    Yani kaka usiseme wanawake tu Bali inategemea na kichwa cha mtu mimi nilikuwa na boy wangu nilimpenda kichiz na kumshirikisha kila kitu mwisho Wa siku ni kitu kibaya kafanya hapo ni roho ya MTU tu ucseme ni wanawake wapo hivo
  3. E

    JamiiForums Tanzania Niliapply diploma second round kupitia NACTE, baada ya muda nikaambiwa nimechaguliwa SUA

    Wasiliana na nacte au kama upo karibu nenda ofisi zao
  4. E

    JamiiForums Tanzania Offer kwa wanachuo watarajiwa na watu wote..

    Weka bei bac
  5. E

    JamiiForums Tanzania Jamani mnisaidie kwenye hili swala la kuripoti chuo na ishu ya mkopo

    Awawez kukuzingua hata ukilipot baada ya mwez ucjal calm down
  6. E

    JamiiForums Tanzania Teofilo kisanji university hiki kipo vzuri?

    Usimtishe mkaka wa watu teku ni chakawaida cha muhimu ni kusoma tu jipange uende kusoma
  7. E

    JamiiForums Tanzania Mwenye swali lolote kuhusu water institute(WI) unakaribishwa

    Lakin tuliopeleka direct chuon maombi yetu.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Mwenye swali lolote kuhusu water institute(WI) unakaribishwa

    Je majina ya tulioomba hapo direct yametoka????
  9. E

    JamiiForums Tanzania Ajali Njombe: Basi la New Force la Dar - Songea lapata ajali, watu 12 wapoteza maisha

    Kaka mpk upate hyo insurance uonge sana tu Mimi miligongwa huku nikiwa na mtoto tena kwa uzwmbe wa dereva wa bajaji lkn cha ajabu atujazika mtoto bajaji inapiga kazi na mtuhumiwa anazurura we acha tyu
  10. E

    JamiiForums Tanzania Jamani NACTE uthibitisho wa chuo mpaka lini??

    Yan atleast wangecomfim bac
  11. E

    JamiiForums Tanzania Wale wa DIT diploma

    0713409883
  12. E

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa diploma DIT pitia hapa

    Nshapata mwenzangu bora
Back
Top Bottom