Recent content by Elizabeth Dominic

  1. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta mafuta yaliyotengenezwa na majani au matunda

    Natengeneza na kuuza mafuta ya nazi. Karibu
  2. E

    JamiiForums Tanzania TANZIA Arusha Wing tumepata msiba wa mwenzetu Freetown

    Rest well Freetown
  3. E

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya corona: RC Makonda aiombea Dar na Tanzania

    I can detect sarcasm, but what do I know [emoji2376] Sent using Jamii Forums mobile app
  4. E

    JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi ya kutunza ngozi, iwe yenye afya na inayovutia zaidi

    Mafuta ya nazi, uyapate mazuri. Utaishukuru ngozi yako Sent using Jamii Forums mobile app
  5. E

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa kiafrika ni wanawake wa ajabu sana

    Kwahiyo wewe ni kitu kimoja na mwanamke ili hali hujang'amua Sent using Jamii Forums mobile app
  6. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niishi nae vipi huyu mwenza

    They are people who are very observant. Yaani yeye ana uwezo wa kusoma energy ya mtu na akajua una shida gani, anakuona hauna issue au umepoteza direction kwenye maisha yako ndio maana anakushauri utafute kitu cha kufanya. You are lacking something inside of you and you are seeking it outside...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Ng'arisha ngozi

    Fanya walau Mara 3 kwa wiki
  8. E

    JamiiForums Tanzania Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

    Ukimaliza kunyoa tumia kitaulo cha maji moto kujikanda kisha ukimaliza pakaa mafuta ya nazi. Na pia unaponyoa fatisha uelekeo wa nywele zilipolalia
  9. E

    JamiiForums Tanzania Ni scrub gani nzuri?

    Inategemea sana na aina ya ngozi yako na mahitaji yako. Zipo nzuri nyingi lakini kina ya oats pamoja na mafuta ya Nazi hii hufanya ngozi kuwa mororo sana pia inafubasha mabaka
  10. E

    JamiiForums Tanzania NItumie mbinu gani niweze kutoa makunyanzi usoni?

    Kuna baadhi ya mafuta au cream zinaweza kusaidia au home remedies. Lakini jaribu kurelax kidogo na kunywa maji mengi pia
  11. E

    JamiiForums Tanzania Glowing Skin

    Hapana hujaelewa, ngozi uwa inakuwa exposed sana na external factors. Inaweza kuwa inapata shuruba mbalimbali za hali ya hewa na mazingira au changamoto za kibailojia na kupoteza mvuto. Kwa kutumia viungo vya asili unaweza kufanya ngozi yako kuwaka naturally na kuwa na muonekano wa afya wenye...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Ng'arisha ngozi

    Natural remedies
  13. E

    JamiiForums Tanzania Glowing Skin

    Kama umetamani kuwa na ngozi yenye mng'ao unaweza kutumia huu mchanganyiko Changanya Manjano 1/2 kijiko kidogo Maziwa kijiko 1 kidogo Asali 1/2 kijiko kidogo Pakaa mchanganyiko kwenye uso na shingoni. Wacha ikauke kwa dakika 20 kisha uoshe kwa maji safi. #glowingskin #naturalskincare
  14. E

    JamiiForums Tanzania Ng'arisha ngozi

    Kwa kutumia vitu vya asili unaweza kubadilisha complexion ya ngozi yako. Hii inafaa sana kama umebabuka na jua au unataka kutakatisha ngozi yako Changanya Turmeric 1/2 kijiko kidogo Mtindi kijiko 1 kidogo Juisi ya limao 1/2 kijiko kidogo Paka mchanganyiko huu usoni hadi shingoni na uache ukauke...
  15. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujitoa katika mapenzi yanayokuumiza

    Psychology ndio inasumbua. Pendo halibadiliki wala halimdai mtu chochote. Kinachojengwa ni mahusiano, muhimu tu ni kutambua unayajengaje hayo mahusiano
Back
Top Bottom