Recent content by Eliyak

  1. E

    JamiiForums Tanzania The Changing Values of Success in Tanzania: Skills, Deal-Making, and the Rise of Middlemanship

    We are living in a new country with relatively new fundamental values, but often disguised in the language of old values and norms. Nowadays, the ability to make deals and act as a middleman can make almost everything possible. If you have persuasive skills and the ability to attract multiple...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Perspectives on the Tanzania union structure: Challenges and the need for clarity

    The structure of the United Republic of Tanzania is uniquely complex, particularly regarding the distribution of power between Union and non-Union matters. In this setup, one state was completely absorbed into the Union, resulting in its original flagship name and identity being sidelined...
  3. E

    JamiiForums Tanzania My Thoughts on Current African politics trend and my way forward suggestions

    Politics determines many aspects of our lives in the 21st century. However, in developing countries, especially in Africa, personal connections and political relationships often play a significant role. In societies where poverty is widespread, people can sometimes be treated as tools or...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Maaskofu walikuwa wapi wakati J. K. Nyerere mara kadhaa baada ya kustaafu alikuwa akishauri serikali ya Mwinyi? Warioba (mstaafu)je?

    Kampuni za wageni zimepewa hizo share kitambo tokea kwa mkapa na watu walisema , magufuri kabadilisha sheria za madini zenye tija bila kuzingatia uhalisia watu walisema na hadi leo zina itia gharama serikali na watu wanasema. Kwa nini Rostam akisemwa iwe udini?? Kina shindikana nini mamlaka...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Maaskofu walikuwa wapi wakati J. K. Nyerere mara kadhaa baada ya kustaafu alikuwa akishauri serikali ya Mwinyi? Warioba (mstaafu)je?

    Kinachopigwa vita sio mtu kumiliki hisa ni gharama za kununua izo hisa 31% za hisa za mgodi wenye life span ya 100 years kwa few billon of money. Tuwe realistic na wazelendo nilikua nategemea majibu kutoka mamlaka husika, kama kapewa government incentive vip kuhusu wachimbaji wadogo ambao kutwa...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Maaskofu walikuwa wapi wakati J. K. Nyerere mara kadhaa baada ya kustaafu alikuwa akishauri serikali ya Mwinyi? Warioba (mstaafu)je?

    " ukipewa ushauri wa kipumbafu na mwenye akiri na wewe ukaukubali huku unajua ni wa kipumbafu, yule aliye kupa ushauri ata kuzarau" Pia kuna kushauri na kuingilia maamuzi nivitu viwili tofauti. Kiufupi wenye dhamana waache kuingiza hisia za udini kwenye mambo ya msingi. " ukisubili mabadiliko...
  7. E

    JamiiForums Tanzania KERO Kutozwa fedha kwa wanafunzi wanaohitaji kujifunza kwa vitendo katika taasisi za serikali ni sahihi na uungwana?

    Hii hapana na ni kitu kinakua kwa taifa letu kwa kasi mno watu wanajimilikisha ofisi za umma kama Mali zao. Ata kama tunachangamoto za kifadha na bajeti vitu kama mafunzo kwa vitendo kwa wanafunzi vipewe kipaombele. Wewe unaosema tunapenda " mteremko" ikitokea seminar ya malipo hizo hela...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Rais Abdel Al Sisi wa Egypt atoa onyo mbele ya Museveni kwamba hawataruhusu maji ya Mto Naili kuguswa na yeyote

    Hakuna kitu ka icho, Tanzania haijawahi kuomba ruhusa kwa yeyoto kufanya mradi ziwa Victoria, tunacho fanya nikuwashirikisha kama mikataka ya kimaitafa inavyo taka as riparian state of nile basin. Serikari ikiamua inafanya na Ethiopia kafanya kwenye bwawa la kufua umeme sembuse sisi. Kikubwa...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Rais Abdel Al Sisi wa Egypt atoa onyo mbele ya Museveni kwamba hawataruhusu maji ya Mto Naili kuguswa na yeyote

    Hakuna cha exclusive right , iyo mikataba imesainiwa na wakoloni sio serikali zetu kama watu huru. Na inakiuka mikataba ya umoja wa kimataifa ambayo ichi zinazo changia vyanzo vya maji ( mabonde) zina takiwa kutumia rasilimali hizo kwa usawa na bila kusababisha madhara kwa ichi nyingine. Egypt...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa miamba(Geography) Je ni kweli kwamba Volcano inapolipuka huwa inabeba madini Ndani yake?

    Madini yapo kwenye kila mwamba,jiwe au udongo, Ni kama seli( building block) ya miamba. Sasa ili baadhi ya madini yenye faida za kiuchumi kama almasi(diamond) au dhahabu yanoyopatikani chini mbali na uso wa dunia yeweze kufika kwenye uso wa dunia milipuko ya volkano husaidia hilo. Kwa Tanzania...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kumjua mtu poa sana ila nilipogundua ni jambazi hadi kupigwa kwake risasi, tangu siku hiyo naishi na watu kwa umakini sana

    Nimesoma story nyingi ila mwisho wao ni mauti, inatukumbusha kitu " dhuluma, wizi, ujambazi , ufisida na vyovyote vile ila kumtendea vibaya mwenzio malipo yake ni mabaya zaidi" tupendane na tutende haki
  12. E

    JamiiForums Tanzania Nashauri John Heche akamatwe haraka na kushtakiwa kwa . matamshi hatarishi yanayoharibu tashwira nzuri ya taifa na Rais wetu

    Nini tafsiri ya uzalendo? Nini tofauti ya uzalendo na itikadi kali za kisiasa, kidini na imani? Tuombe mungu kila mtu kwa imani yake tutambue tofauti ya vitu hivyo tusiwe ka mashabiki wenye itikadi kali kana Kwamba hatuoni lolote jema kwa mpinzani wetu. Tukumbuke mzalendo wa kweli hujenga na...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Kenya's economy compared to Tanzania in 2025, Nairobi beats Dodoma

    Hii naomba ni mtete , raiya wanoishi mipakani nikawaida kufuata huduma inchi sabubu kubwa hua ni 1. Utofauti wa thamani ya fedha, kama uko mpakani wa ugànda au Burundi gharama utakayo tumia kununua dawa Tanzania nikubwa kuliko utakayo tumia ukiwa burundi au ugànda.( Kama uko mpakani hutumii...
  14. E

    JamiiForums Tanzania AIBU KUBWA SANA: Hawa ndio Wakurugenzi wakubwa wa Makampuni ya mitandao ya simu Afrika Ya Mashariki. Hakuna Mtanzania hata mmoja

    Wala sio aibu, nafikili ata top managers, Exacultives and Director kwenye sekta za uma wangefungua milango watu wenye sifa kutoka njee waombe kupitia michakato rasmi ya usaili wakifuzu wapewe nafasi waongoze sekta zetu. Faida zake nizipi? 1. Uzoefu wa kisekta kutoka uko njee anauleta ndani...
Back
Top Bottom